naomba kuuliza swali?nani walikuwa wakwanza kuishi katika hii dunia?maisha katika hii dunia hayakufuata mtiririko?
cyanobacteria ndio walikuwa wa kwanza kuishi duniani, waliishi baharini na waliumbwa na Mungu, na ukitaka kujua kiumbe wa mwisho kuanza maisha yake hapa duniani basi ni binadamu.