Hapo kufaulu ni akili yako tu

Hussein Njovu

Senior Member
Sep 25, 2006
186
74
260442_206828102687713_7094300_n.jpg
 
Ndio inavyotakiwa - faulu kwa akili yako lakini sio kwa kukalishwa chini ya miti.
 
Hata sio suluhisho la CHABO; hapo wale wasichana wanaoweka makaratasi kwenye mapaja chini ya sketi ndio wanapata nafasi poa!!
 
Yaani jua lilivokaji hapo hata huyo mwenye ufaham mkubwa lazma achanganyikiwe

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Lord Have Mercy! Sasa hapo manyunyu yakianza?? hii nchi hii, afadhali kusadikika!
 
hii ni kudhohofishana kifikra, psychological wameshafeli 80%,
usomee darasani siku zote, mtihani wa mwisho chini ya mti.
 
Back
Top Bottom