Hapo Je!!!

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
wazenji wa nje.jpg

Dunia ina mambo!!!!
 
Acheni ushamba bana, kama kazi yako inakutaka kuvaa masuti, tai navitu kama hizo ndio unaona urijali, kimpango wako
Huyu ni msanii Sharobaro yupo kazini kama wewe unapokuwa kazini na ana make chapaa kama kawa
 
Hapo kwenye kiji baa flani hivi ambacho kwa hapa kwetu huwa vinaitwa mwafrika baa. Yaani mwendo ni komoni mbege dadii nk. Akirudi bongo sasa!utaskia mashauzi yake ooh mara kafunika uk ile mbayaa. Waapi
 
Nilikuwa kwenye bonge ya tour ukerewe man ndo zao hizo.Kumbe viji bar
 
Acheni ushamba bana, kama kazi yako inakutaka kuvaa masuti, tai navitu kama hizo ndio unaona urijali, kimpango wako
Huyu ni msanii Sharobaro yupo kazini kama wewe unapokuwa kazini na ana make chapaa kama kawa
Ah mzee tunajua yupo kazini lakini sasa hiyo chupi anamuonyesha nani? au biashara matangazo huko lazima apate wateja.
 
Acheni ushamba bana, kama kazi yako inakutaka kuvaa masuti, tai navitu kama hizo ndio unaona urijali, kimpango wako
Huyu ni msanii Sharobaro yupo kazini kama wewe unapokuwa kazini na ana make chapaa kama kawa

Isijekuwa ni wewe ndo maana unakuwa mkali namna hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom