Hapo Dar,hali ikoje? Wachina wamepungua?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
735
Leo ni mkesha wa mwaka mpya wa Watu wa China..
Wachina sehemu mbalimbali duniani wamekuwa wakirudi kwao kusheherekea tukio hilo kubwa sana kwao.

Sasa nauliza kwa wale mlio nao hapo Mitaa ya Swahili,na mingine ya Kariakoo,vipi wamepungua?
 
Umekurupuka wewe bila shaka hujaswaki wewe. Sisi wachina wanatuhusu nn? Si uende nao kama unawapenda? Maspy bwana utawaona tu.
 
Wapo wamejaa tele wanakomaa wanasheherekea hapa hapa DSM
 
Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka.
 
Wapo mkuu,tena wanakaba hadi penati...jana tu nimekatiza mitaa ya Tandika nimekuta mchina fundi cherehani,tena anachukua hadi tenda za kushona viraka.

Wataenda wapi?hata nauli sidhani kama wanayo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom