Hapo chacha!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
.[MUME]:Wife mi naona unanizingua,nimechoka kuishi na wewe,nabeba begi langu naenda kwa nyumbani kwa mama yangu.[MKE]:Ebo,tabu ya nini,mimi mwenyewe mama yangu yuko hai,nami naenda nyumbani kwa mamangu. [MUME]:Hamna shida,ni uamuzi wako tu.[MKE]:Sasa watoto watabaki na nani?. [MUME]:Nao mama yao bado yuko hai,watakwenda kwa mama yao pia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom