Hapiness Magese avishwa pete ya $76,000

Hayo ndo matumizi ya pesa,kama ipo tumia kama huna jutia nampa thumbup bro kwa kumfisha Happy hiyo pete nawaombea sana harus iwe ya kifahari hadi uwekwe kwenye kumbukumbu ya TZ.Hamjasikia Pdidy kamzawadia mtoto wake gari lenye dhamani ya ajabu kwenye b/day tu.
 
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.

Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000

Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu

Ni jambo la kawaida sana bro kwani waweza ukanunua chochote kile ila kazi ndiyo msingi wa maendeleo itakayo kukukopesha.

Watalii unao waona karibu asilimia 80 huwa wanakopa na kutalii, atahusisha budget yake kupitia pension au mshara wake atakaokuwa akiupata na kulipa deni. Kwa hiyo yawezekana jamaa ana kazi ya nguvu kachukua deni kununua pete pengine hata haijalipiwa cash.

Kuna kitu kinaitwa 'Laybay' ni kulipia kitu kiodgokidogo kikiwa bado kipo kimehifadhiwa dukani.

hata mtu anayeendesha gari ya milioni 100 ughaibuni isikutishe wote humu wamekopa magari, hata nyumba unakopa unailipa kwa mafungu.
 
Hongera kw kupata mshikaji, lakini ndugu zako kule kijijini wanakufa kwa njaa,wanalima kwa jembe la mkono.
 
rochelle%20rings.jpg

Alivishwa kama hii? Lazima vibaka waibebe lasivyo atakiona cha moto.
 
Inawezeka ni $76000 or $7600 or $760 maana wabongo wanamatatizo na kuquote figures sana! Lakini sina hofu na mtoa mada.
Yawezekana pia pete yenyewe imeibiwa huko huko Canada ikaletwa hivyo hivyo na kuja kijisifu nayo, inabidi Happiness akisafiri awe makini .....

na inawezekana ikawa fake diamond!!!!!!
 
Hongera kw kupata mshikaji, lakini ndugu zako kule kijijini wanakufa kwa njaa,wanalima kwa jembe la mkono.

Ungekuwa wewe umevalishwa pete hiyo, ungekumbuka maneno hayo???

Mwacheni kijana wa watu ale jasho lake!!
 
Inawezeka ni $76000 or $7600 or $760 maana wabongo wanamatatizo na kuquote figures sana! Lakini sina hofu na mtoa mada.
Yawezekana pia pete yenyewe imeibiwa huko huko Canada ikaletwa hivyo hivyo na kuja kijisifu nayo, inabidi Happiness akisafiri awe makini .....QUOTE]

na inawezekana ikawa fake diamond!!!!!!

Ama kweli umasikini ni laana! Kwa nini roho inawauma???
 
Ilaumu serikali wewe sio mtu kabeba Box kapata mshiko wake then unampangia matumizi? Umaskini wetu unaletwa na sera mbovu na zisizo tekelezeka....!!

Umesema kweli mkuu,mbona magari ya mamilioni yako barabarani yanaangizwa twayaona hakuna anaesema,wacha watu watumie pesa zao bana.
 
Wakati Wa-Tanzania asilimia 90 ni maskini wa kutupa mswahili mmoja anavaa pete ya USD 76,000, ili iweje? unajua kuna kutenda DHAMBI na pia kuna KUKUFURU! hii basi ndo KUFURU yenyewe!!

Tukumbuke tulikotoka, elimu vijijini duni, kina mama wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma wakati wa kujifungua, miundombinu yetu ndo hiyo................... nadhani hata ndugu zake Happiness ni CHOKA MBAYA ............... "ukifa utapelekwa kijijini na huko utazikwa na watu maskini saaana wenye nguo zilizojaa viraka viraka"

Mi simo

Wewe umesahau kwamba umasikini wa Watanzania ni mtaji wa kisiasa wa CCM? Umasikini wao ndio unaofanya wapige kura kwa kupewa khanga, vitenge, kofia, chupi, pilau, nyama, halafu wanjanja wa wajanja kidogo ndio wanaambulia Shs 10,000/=. Wanapiga kura, jamaa wanarudi mijini kwa miaka mingine mitano!
 
Hongera Happy Magese... nakutakia maisha mema na mwisho uolewe na uishi maisha mazuri na yenye baraka toka kwa muumba... Be a good girl and thankful to your blessings as you are always lucky
 
Dada yetu Super Model Hapiness Magesse, amevishwa pete ya thamani kubwa. 3.5 Carrant Diamond with Clearless Clarity abayo imewekwa kwenye Planinum Ring.

Mchumba wake ni kaka mmoja mtoto wa FISADI aitwaye GERALD MGASHA ambaye ni mbeba boxi Canada, wadau hii imekaaje Dola $76,000

Dada huyo alivalishwa Pete siku ya Jumamosi 24/01/2010 pale Bahari beach. Honera Dada yetu

Samahani wadau, inawezekana mimi sielewi madini ya diamond gharama zake! hiv kumbe mtu anaweza kuvaa kiasi kikubwa namna hiyo cha pesa kwenye kidole tu? maana kwa makadirio ya haraka ni sawa na Tshs 99,000,000!
Duuh!
 
we wa wapi?unashangaa 99m??
 
hiyo pete amenunulia vibaka wataichukua muda si mrefu. huwezi kuvaa kitu ccha mamililioni dar halafu watu wakuangalie hivi hivi labda akaishi geniva
 
Kwani akivishwa expensive pete ndo mapenzi yatakuwa ya milele?takwimu zinaonesha kuwa ndoa nyingi za gharama kubwa huvunjka mapema sana...
 
Back
Top Bottom