Hapendi mi nizime simu usiku, ila yeye anazima!

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
habari zenu mabibi na mabwana! leo nimekuja na mada hapo juu
Unajiskiaje pale unapomsisitiza mwenz wako asizime simu wakati we unazima? kuna kitu gan nyuma ya pazia?
 
habari zenyu bana! leo mchiz nimekuja na mada hapo juu
Unajiskiaje pale unapomsisitiza mwenz wako asizime simu wakati we unazima? kuna kitu gan nyuma ya pazia?

Mambo mchizi........Tukushauri kichizi , Kisela au Kinyumbani?
 
Mnataka kukamatana uchawi hapo mchizi?Iwe kama amri wote mzime au ziwe wazi mchizi.
 
Hahaha. Sasa ka yeye anazima mchizi, ww yako unaiacha hewani ili akupigie nani? Zimeni wote ila mtafute zile beeper kiulaya ulaya. Akikubuzz unawasha kama vipi unamuendea hewani, au sio mchizi wange?
 
Huyo mwehu kweli, hapo hakuna mapenzi ila mnakuwa mnasindikizana ukubwani tuu kama vip we mchukulie kama anavyotaka yeye ila kinyume unamchakachua tuu coz yeye pia hufanya hivyo....... hakuna mapenzi ya kweli ckuizi ila n kuzinguana tu.
 
ushaliwa mchizi wangu, kama vp .....fatilia upate ukweli wakae, nioyo tu mchizi wangu. ukiona manyoya juwa umeliwa
 
Ukiona nimefanya hivyo ujue namuona yeye mtoto. wala simthamini!
 
Wewe fanya moyo wako unavyokutuma
mtindo wa kunenepesha kiti wakati shetani anakonda hakuna
 
Ahhhhhhhhhhhhhhhh chukua hatua mchizi!!!!!!!


La sivyo utaumia mchizi


Ukiona poa endelea na huo utaratibu mchizi


u vipi mchizi....................
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom