Hapana kojoa

Nambe

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
1,451
528
Mama wa kijaluo alienda hospitali baada ya kujisikia mwili hauko vizur, alipofika hospitali mazungumzo yake na doc yalikuwa hivi
doc : mama unasumbuliwa na nn
mama : hapana kojoa
doc : enhe hlo tatizo la kutokukojoa limekuanza lin?
mama : Nasema hapana kojoa( kwa hasira kidogo)
Doc : (kwa upole) Nimekuelewa mama ndio nataka kufaham tatizo la kukosa mkojo lina muda gan sasa toka liakuanze??
Mama:( kwa hasira haswa) Mimi naelesa wewe hapana kojoa
Doctor kuona mama anakuwa mkali ikabd atafutwe mkaliman kumbe mama alikuwa anamaanisha hajui..............teh teh, hyo ni lugha gongana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom