Hapana Chezea Wadada Wa Mjini Daslamu..

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,438
4,149
Utakuta Mdada hana kazi wala nn? Kapanga Chumba au Vyumba Sinza, K'nyama, Mbezi nk fully furnished.. Iphone ya hatari full loaded muda wote.. Kila dakika siku iko busy kama opereta wa posta.. Pamba kibao na za ukweli kinoma n siku hizi wanavyojiita Fassionista.. Saloon za ukweli every weekend nywele za Shear Illussion kwa wanaojua bei zao. Viwanja vyote vya hatari mjini anavijua kuanzia GardenBiastro Golden Tulip Savanna nk Sasa unajiuliza Niaje Niaje Arif..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
...Mkuu, Umeishawahi kusikia 'Blank Cheques' walizonazo dada zetu...?
 
Kama haujui kufa chungulia kaburi na majibu utapata!

Chezea moto unaowaka!
Utashanga!
 
Ila kiukweli hata mie nashangaaga. Yaani unakuta mdada ana matumizi makuubwa kupita kipato. Na hayo magari sasa! Mweeh! Nataka kuji-evaluate sasa!
 
King,asti, hizo Bmw X6 na Porsche Cayenne walizo nazo hao akina dada ambao kazi zao haziwawezeshi kuwa na aina hio ya magari ndo huniacha na maswali tele. Kulea tu magari hayo ni ghali sana achilia mbali kuyanunua
 
Chezea mabinti wa mjini wewe? Utaumia mwenyewe chezea mabinti wa mjini wewe? Itakucost mwenyeweeee!!! Nenda U-turn ukawaone na ma-vogue,bmw x6,Jaguar wanayoya-ride chezeeeeiiiyaaaaaa wao!!
 
Ukisikia Gold Diggers ndio hao. Kama wewe ni mtu wa kujilinganisha na fulani unaweza ukakata tamaa na ukaona kwenda kwako shule kulikuwa hakuna maana kabisa. Sijui ni lini hao wafadhili wao (Womanizers) watajitambua wanachokifanya ni upuuzi mtupu.
 
Ukisikia Gold Diggers ndio hao. Kama wewe ni mtu wa kujilinganisha na fulani unaweza ukakata tamaa na ukaona kwenda kwako shule kulikuwa hakuna maana kabisa. Sijui ni lini hao wafadhili wao (Womanizers) watajitambua wanachokifanya ni upuuzi mtupu.
hahahahaha!umenchkesha sana eti "utaona shule ulikuwa unapoteza muda 2" hahaha
mabnti wa town hao
 
Duh, A-Town hapa pia mabinti naona mambo yao yamekuwa juu saana na sijawahi waona melelani wala wakijishughulisha na shughuli au Utalii lakin utaona wako busy sana katika matumizi fully time kwenye viwanja high class swali sasa huwa nani anawafanyia kazi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom