Hapa vipi??

Butterfly

Senior Member
Sep 30, 2010
126
2
bwabwaa.[1].jpg
Hii sijaielewa hebu anofahamu anifahamanishe nami nielewe ni nini hiki? Nilipoikuta ilikuwa imeandikwa "ubwabwa"
 
Dah kwa kweli vijana tumekwisha hawa jamaa kazi hawataki bia wanataka sasa lazima wawe maboflo
 
wote tu ni balaa hakuna nafuu.

Mkuu hapo ni kuomba mungu tu watoto wakue salama na dunia hii isiwazuzue,maana siku hizi kuwa na watoto ni kama mtu umebebeshwa furushi la kinyesi kichwani,utatembea njia nzima ukiomba lisikupasukie mpaka utakapolifikisha.Na ukilifikisha(kumkabidhi mtoto mji wake)salama unashukuru mungu.
 
Hasa ukipata mtoto wa kiume

Hili likiwa toto lako unatamani dunia ifunguke ikufinye....

Khaaaa...ngoja ninyamaze tu kwa kuwa maneno siku zote yanaumba. Ila inauma sana kuona toto ulilojikunja kulizaa...then ukalilea kwa nguvu zote linageuka kuwa asusa na watu wanajigawia kama vile wanakula vitumbua....Nasikia hasira kama vile imenitokea.

Jamani ndo maana watu huwa wanatokwa machozi wakiona watoto wao wanafikia walau mahali pa kuwa mume au mke...Mungu atusaidia jamani dunia inakwenda vibaya.!!!:mad::mad::mad::embarrassed::embarrassed::sick::sick::angry::angry::confused3::confused3:
 
Mkuu hapo ni kuomba mungu tu watoto wakue salama na dunia hii isiwazuzue,maana siku hizi kuwa na watoto ni kama mtu umebebeshwa furushi la kinyesi kichwani,utatembea njia nzima ukiomba lisikupasukie mpaka utakapolifikisha.Na ukilifikisha(kumkabidhi mtoto mji wake)salama unashukuru mungu.

Hizi ndio dariri ndogo ndogo za kuja kwa kiama
 
Back
Top Bottom