Hapa utapewa tu utakavyo.

Vodka

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
906
96
Jamaa mmoja alimpa mimba mwanafunz ambae ni mtoto wa mchaga,baba mtoto alikasirika sana na akapanga kumuua yule jamaa....jamaa kusikia hvyo akam2mia ujumbe mzee kwa kumwambia mzee ni kweli nimempa ujauzito binti yako na kuxema ukweli sina mpango wa kumuoa lakin natoa ahadi akijifungua mtoto wa kiume nitatoa bilion moja,na akijifungua mtoto wa kike nitatoa milion sitin na duka kariakoo,kumbe mama mtu alisikia ile barua wakati inasomwa hapohapo akauliza 'je ikitokea mtoto bahati mbaya akafarik itakuwaje?'...baba mzaz akajibu mkeangu itabid umpe tena mimba nyingine hakuna jins huo ni utajir aiseee'....khakhakhakhakhakhakha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom