Hapa utaona nchi gani ipo makini zaidi ya mwenzake!!

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Salaam wanaJF!

Katika dunia ya sasa, mawasialiano ni jambo la msingi sana.
Katika masuala ya utawala na uongozi, mawasiliano kati ya viongozi na wanaoongozwa nayo ni muhimu sana.
Sasa, hebu angalia kati ya nchi hizi tatu za Afrika Mashariki, kisha amua mwenyewe nchi ipi inacheza kiduku na zingine zinasonga mbele katika nyanja nzima ya mawasiliano kati ya viongozi na wanaoongozwa!!

Office of Public Communications - Office of Government Spokesperson

Statehouse Uganda

Ikulu Mawasiliano

Asante!!
 
Hatuko siriazi na webesite zetu hata kidogo, website ya ikulu inakuwa kama ka-blog tu!
 
Back
Top Bottom