Elections 2010 Hapa tutaje wabunge waliokwisha tangazwa RASMI na Tume ya Uchaguzi tu!

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Naomba katika post hii tutaje tu wagombea waliokwisha dhibitishwa na TUME(Wakurugenzi)tuachane na masuala ya matokeo ya awali tutaje waliotanagzwa tu ili tujue tunao wabunge wangapi mkononi at the moment !Naanza 1.Vicent Nyerere-CHADEMA(Musoma mjini) 2.Peter Msigwa-CHADEMA(Iringa Mjini)Tuendelee.............
 
Back
Top Bottom