Hapa sasa wanamahesabu

Kelvin Joseph

Member
Mar 22, 2011
11
0
Wanahesabu wanadai eti 2=1!
Wanasema ikiwa x=y
Basi 2x-x=2y-y
Na 2x-2y=x-y
2(x-y)=x-y 2(x-y)/(x-y)=x-y/x-y2=1
Ona unavyotoa macho! Hauelewi chochote!
 
hiyo assumption ya x ni sawa sawa na y imetoka wapi...,,but anyway,, jukwaa la jox, so naweza nikakubaliana na wewe kwamba huu ni utani
 
hyo hesab co... Jst wtchot
if x=y then,
2x-2y=0 and x-y=0. Thats over... t cnt go fthr
 
Vichwa vimeishachoka na mishemishe na wewe tena unataka utupasue tena vichwa..baadae kidogo mimi natoka
 
hyo hesab co... Jst wtchot
if x=y then,
2x-2y=0 and x-y=0. Thats over... t cnt go fthr

Kwani kuna ugumu gani kuandika neno zima? Kwanini kuwapa adhabu wasomaji wa mawazo yako na kuanza "kudhania" hapa ulikuwa na maana fulani.
 
Alternative way
Let a=b
[multiply both sides by b];
ab=b^2
(minus a^2 both sides);
ab-a^2=b^2-a^2
[factor out the LHS using distributive law and use the difference in square for RHS];
a(b-a)=(b-a)(b + a)
divide by (b-a) both sides;
a=(b + a),
now remember
a=b
then;
a=(a + a)
au a=2a,
divide by a for both LHS and RHS;
a/a=2a/a,
then 1=2
 
Alternative way

Angalia hii!
Let a=b, upo sawa
then ab=b^2, it's ok
ab-a^2=b^2-a^2, true.
Olso a(b-a)=(b-a)(b+a) it's ok!

But, u can't divide throughout by (b-a) since a=b, then b-a=0. So the equation is meaningless since you are trying to dived by zero. Kwahiyo basi, moja haiwezi kuwa sawa na mbili hata mwisho wa dunia!!
 
Angalia hii!
Let a=b, upo sawa
then ab=b^2, it's ok
ab-a^2=b^2-a^2, true.
Olso a(b-a)=(b-a)(b+a) it's ok!

But, u can't divide throughout by (b-a) since a=b, then b-a=0. So the equation is meaningless since you are trying to dived by zero. Kwahiyo basi, moja haiwezi kuwa sawa na mbili hata mwisho wa dunia!!

A number devide by zero is not meaningless,it i infinity
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom