Hapa sasa itanilazimu kufanya hivii

Ibrashinto

Senior Member
Jul 3, 2012
123
6
Eti nimetafuta mpenzi apa Jf moja kati ya sifa nilitaka awe single kuna jamaa akansema kumpata single ktk dunia hii labda usubirie anaezaliwa leo! Kama ndo hvyo basi tubanane umo umo kwa wake za watu??? Au nifanyeje wakuu wa idala mmmmh!!!
 
Mkuu jitahidi tu utawapata tu humu, ila wake za watu sumu ndugu yangu. Yaani wanaume wenzio wagharamie, wavilishe, wavinenepeshe, wavivishe na wapendezeshe halafu wewe utumie tu bure hivi hivi........kweli? angalia itakukost
 
sasa ntasubilije walio zaliwa leo cndio itanikost zaidi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom