Hapa Pinda nini tena

wana jf sometimes tutunze heshima kwa viongozi wetu walio wapole kama baba pinda.mbona jambo la kawaida kuinama na sio kupinda kama alivyofanya mkuu?
 
Ni Salam Ingawa sio wote Tutaelewa..

attachment.php

Sina uhakika kama ni sawa kwa pinda kufanya anacho kifanya...
 
Hili halijamshushia heshima hata kidogo. Nadhani walimu wenu wa masuala Mila na desturi hawakuwa wazuri sana. Kama kwa chimila cha kwenu mnatakiwa kusalimia kwa aina fulani unafanya. Kuwa kiongozi mkubwa wa nchi hakumwondolei heshima kwa viongozi wake wa dini katika suala dogo tu za salamu kwa utaratibu anaoona unafaa unnless ingekuwa inaingiliana masuala ya kiserikali. "Serikali haina dini ila wananchi wake (wakiwemo viongozi) wana dini"
 
Nimejaribu kufikiria:Hivi huyo balozi wa papa angekuwa muafrika(mweusi),Pinda angeibusu hiyo pete yake?Kama kuna mtu ana picha ya Pinda akibusu pete ya Pengo au Kilaini au askofu yeyote mweusi wa kikatoliki naomba aiweke ili nithibitishe kweli kuwa hii ni salamu inapaswa apewe askofu yeyote wa kikatoliki..Manake isije ikawa ileile kasumba yetu ya kubabaikia wazungu/watu weupe na kudhani wao ndiyo kila kitu(watakatifu nk)
 
Hiyo ni iman ya mtu hata angekuwa mlugulu angeibusu tu iyo pete. Usije ukawa unaleta na chuki kwa waroma maana mnasema mengi utadhani nyie ni watakatifu!
 
something is in his sorry head! am i gonna get new suit from this lad!?? will ask him for varsace how ever they spell it! LOL!
 
kizunguzungu alicho acha mzungu,ila nisalamu ya kuwakilisha hisia,niswali kwa muhusika aliwakilisha hisia zipi?hususani kwa wakati kama huu kwa raia ambao wanaamini nchi imeuzwa,kwani ni busu za hivi hivi zilizo muuza yesu!sasa mzee muheshimiwa vipi?busu lako limepeleka hisia zipi kwa muhusika na raia chini yako?si uongo raia wamechoshwa na uongo wa maneno yako yasio fikia kikomo.kura zimefika na kupitiliza,vipi ujumbe haujafika ujijue hawakutaki?sasa vipi,kulikoni?jitwike chako usepe,ama nikipimo ulichotaka?basi kura zilipita kiwango ulichotaka,ila kwa tabia ya kuficha maovu kwa manufaa ya waovu.vipi muheshimiwa dada mtetezi vipi?mbona mtetezi wa walowezi na wezi si ndicho alichotaka muheshiwa!jamani wanyonge haki zao wapeni,jamani kiwauma ama mpaka wavichukie na vivuli vya sura zenu?
 
Ni Salam Ingawa sio wote Tutaelewa..

ni busu kama alizouzwa nazo kristo yesu.huwakilisha hisia,ajuae ni yeye na muhusika na hisia za walicho ongea kabla.ila dingi yetu huyu aaminiki,kwa madokta aliongea kile,kikatendeka tulichoona haya sasa kwa kura pia alichosema kile kimetendeka hiki.hata hisi za busu hili nizilezile zilizo muuza yesu!
 
ni salamu za kawaida sana ktk Kanisa Katoliki....ni utaratibu ambao hata Pinda anauelewa kwani hata yeye ni mseminaristi...ni mbadala wa kukumbatiana....isikupe homa au hisia za mashaka.Pinda angelikua Padri mzuri sana ni basi tu wito ulibadili mwelekeo
 
No comment kwani imekaa kiimani sana na imani ya mtu kamwe sitoiingilia wala kunena vibaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom