Hapa patulivu, panaliwaza, kuna afya

Mkuu mimi ni Mkaka lakini Usihofu Hoja hazina Mkaka wala Mdada...., Karibu Sana Ndugu, hapa ni nyumbani usisite kutembelea majukwaa yote ingawa mengine mpaka uwe member (jukwaa la wakubwa - PM invisible)..., Jukwaa la Dini (nadhani PM invisible pia ingawa huko sijawahi kufika) Jukwaa la Premium Members (Changia JF) ingawa na mimi bado ila soon, nataka nikachungulie kuna nini huko ndani, na pia niwape asante hawa wanaoendesha JF...

Asante sana mkuu kwa ushauri. Na mimi nitajitahidi siku za karibuni pia nichangie JF. This is a very powerful forum na inasaidia sana wananchi kisaikolojia kwani watu wanapata mahali pa kujadili mambo ya msingi lakini pia social network kama hapa kwenye hili jukwaa. Kwangu mimi naona JF ina impact kwenye maisha ya watu wengi in many different ways kuliko hata TV na Radio zinazokusanya pesa za matangazo kibao. Ni maoni yangu tu lakini mkuu, naweza kukusea pia
 
Umejuaje sasa kama Sir... Lol. Karibu mwaya hata mie this forum is my favourite najifunza mambo engi sana as watu wanashare mambo mbalimbali mpaka sometimes unaweza ukafikiria ni hadithi kumbe kweli. Happy Valentine's fun wote wa this 4rum.:mwaaah:

same to you Mkare, happy valentine
 
Jamani naona siku inakaribia kwisha na ninataka kuwatakia happy valentine wote ambao mnatembelea hii thread. Niwataje lakini wachache wenu ambao mmenikaribisha na kunishauri na wengine tume chat kidogo kwenye hii thread.

Lizzy,
Ukwaju,
Remmy
Jaluo Nyeupe
Gaga
Chwechwe
Bigirita
VoiceofReason
Kaizer
LD
Firstlady
Michelle
BlueFace
Gurudumu
Bubu ataka Kusema
Mukoyo
Katavi
Desidii
Mkare
Chetuntu

Happy Valentine all!!!!!:clap2::coffee:
 
Hongera muhosni kwa kulitambua hili..hata me nimejiunga na upande huu siku sio nyingi ila nafarijika sana kwani nimepunguza mawazo na maumivu ya mapenzi..jamani hakuna kitu kinachoumiza kama unampenda na kumheshimu mpnz wako halafu ukaja gundua si mwaminifu.. its pain..
 
Hongera muhosni kwa kulitambua hili..hata me nimejiunga na upande huu siku sio nyingi ila nafarijika sana kwani nimepunguza mawazo na maumivu ya mapenzi..jamani hakuna kitu kinachoumiza kama unampenda na kumheshimu mpnz wako halafu ukaja gundua si mwaminifu.. its pain..

Bella, Asante sana. Kwanza happy valentine!

Pole kugungua mpenzi wako si mwaminifu, najua inavyouma. Mara nyingi ni rahisi kusikia kwa wenzio lakini ikikukuta mwenywe ni chungu sana. Jambo la muhimu sana ni kuhakikisha usalama wa afya yako. Lakini kujitahidi kuongea na mwenzio mara kwa mara. Wakati wa tatizo, mpende zaidi, utamkosesha amani sana na kama ana akili hatarudia. With extreme caution
 
Back
Top Bottom