Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,769
- 59,087
Kama nilivyofanya hapo kwa lizzy.
Na mimi ngoja nikugongee Bigie!Valentine tunapelekana wapi vile?
Kama nilivyofanya hapo kwa lizzy.
Na mimi ngoja nikugongee Bigie!Valentine tunapelekana wapi vile?
Sasa nini na wewe?Embu nikaribishe kikombe kimoja cha kahawa kwanza!:coffee::coffee::coffee:
Karibu Mkuu, kila jukwaa lina raha, mabaya na uzuri wake..., I hope tutaendelea kuonana kwenye majukwaa tofauti, na kila tunapokosea na mtu akileta hasira usihofu., hasira sio za kwako bali ni kwenye hoja zako, alafu hakuna dawa nzuri kama mtu akija kwa hasira wewe ukampokea kwa upole..., "We Destroy Our Enemies By Making Them Our Friends" Martin Luther King
We Bigie sio mama!Utachapwa!Asante sana birigita, habari ya asubuhi. Kweli umemkomesha Hosni Mubarak, kutoka ikulu hadi shamba la mapera. Naomba nipe muda mama nizoee shida kidodo kidogo, au vipi
Asante sana na wewe utufurahishe!Umeshajifunza kugonga Thanks lakini?Usiwe mchoyo!
Mmh kwani we mgeni Blue?Lizzy, ata mimi nataka kujuwa wapi unagonja "thanks"
Karibu sana Muhosni. Jina lako lina uhusiano na Hosni Mubarak?