Hapa Palinivutia Kujipiga Picha.......

true... i have been there once, and last monday nilienda tIGOni na kimbimbi.... hapo ndipo nikachoka na majina ya kenya
Are you hunting those places or you 'just happen' to work in areas with funny names? lol
 
kwa sabab sipendi kufahamika kwa sura yangu ila kwa ID tuu.
Nimeshakujua mkuu, wala kuficha sura hakujasaidia kitu, watu tunajua teknolojia ya kufunua vilivyofunikwa...............
Siku nikikuona mtaani nitakupa Hi, kwa jina la Kadoda11 ndio utashangaa!
 
Nimeshakujua mkuu, wala kuficha sura hakujasaidia kitu, watu tunajua teknolojia ya kufunua vilivyofunikwa...............
Siku nikikuona mtaani nitakupa Hi, kwa jina la Kadoda11 ndio utashangaa!
ha ha ha.naisubiri hiyo siku.sio adobe photoshop wala illustrator inaweza kuondoa hicho kiduara cheupe na ku-display sura yangu.labda uniambie utatumia softwere zinazotumiwa na watu wa vitengo vya kijasusi kama TISS -kama wanazo hizo softwares.:peep:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom