hapa ni Zanzibar ama ni Iran?

Niambie hiyo dress code iliyoandikwa kwenye katiba yenu mpaka ZnZ ifananishwe na Iran, mbona mnachuki zenu binafsi nyie, its not secret kuwa ZnZ more than 80% ni waislamu na hilo ni vazi lao sasa makosa yako wapi?

Pumbaaaaaaa

99% asie Muislaam katoka bara.
 
Ila tusisahau ule mgogoro wa pemba na unguja bado upo ulifunikwa tu na kauli ya Pinda kuwa znz sio nchi, na madai ni yaleyale kuwa pemba inanyonywa na unguja na maadamu watajitenga nasi wakimaliza watapakua kiporo chao, so nina mashaka hali itakuaje kule kwao maana wote wana misimamo mikali.

Nassari hajambo?
 
Mimi baada tu ya kuiangalia hiyo picha, ni kitu kimoja kimeniacha na hili swali, hivi hiyo lugha iliyoandikwa katika hayo makaratasi ndio lugha ya visiwani Unguja na Pemba(Zanzibar) au?...maana najua wanafikisha ujumbe hawa na bila shaka walikuwa wakiufikisha kwa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Muungano ambao lugha yake ya taifa ni KISWAHILI au ya kibiashara ni KIINGEREZA.
 
Wao ndio wanafaidi huu muungano hatuna hata mesenja ktk baraza la wawakilishi! tazama ktk bunge letu walivyojazana tunapo jadili mambo muhimu ya bara nao wanachangia kutuharibia hatufanyi utani ktk hili nao waondolewe huku!!!
 
Wemependeza sana. Hivi kwa nini hawa watu wawasipewe wanachodai?
 
Mimi baada tu ya kuiangalia hiyo picha, ni kitu kimoja kimeniacha na hili swali, hivi hiyo lugha iliyoandikwa katika hayo makaratasi ndio lugha ya visiwani Unguja na Pemba(Zanzibar) au?...maana najua wanafikisha ujumbe hawa na bila shaka walikuwa wakiufikisha kwa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Muungano ambao lugha yake ya taifa ni KISWAHILI au ya kibiashara ni KIINGEREZA.
JK alidhani atamaliza issue ya Znz kwa kuhongana vyeo lakini hapa hali inavyoelekea ni dalili tosha kuwa 'Al-Zawad' iko mlangoni!
Nimesikia habari kuwa mtandao wa Al-Shabab/Alkaida umejitanua sana Afrika Mashariki na wana gazeti sasa linaitwa 'Ugaidi Mitaani'. Ngoja tuone mwisho

... The former
Wakati Kundi hili la Umsho linatoa elimu kwa Wazanzibar kuhusu Katiba mpya na hatma ya Muungano ikiwa ni pamoja na kukusanya saini za Wazanzibar wanaoutaka Muungano au laa, watu wengi tuliona kuna mwelekeo na tulianza kulinga mkono. Lakini sasa limebadilika Kundi hili linakuwa kama Alshaabab na Bhoko Kharam.Linahitaji kudhibitiwa kwa nguvu zote.

Lakini kuna maswali mengi ya kujiuliza kuhusu tukio hili la jana

  • Hivi hoja za Muungano na Katiba mpya zinaingilianaje na suala la kuchoma makanisa au kuna ajenda nyingi zilizojificha?
  • Hawa Wazanzibar wanafikiria kweli maisha yao nje ya Muungano?Ni nani anawadanganya kuwa, nje ya Muungano watamwagiwa neema? Upemba na Uunguja si utaanza mara moja? Watakimbilia wapi?
  • Ni kweli Kundi hili la Umsho halina uungwaji mkono wa baadhi ya Watendaji wa Serikali ya SUK au nchi za Kiarabu? Hili naliuliza kwa kuwa, kumekuwa na kauli za kutatanisha kutoka kwa baadhi ya Wanasiasa ambazo zina mwelekeo wa kuunga mkono kundi hili japo si kwa wazi.
  • Tume ya kukusanya maoni ya Katiba (Tume ya Warioba) itaweza kweli kufanya kazi yake Visiwa vya Zanzibar kama zoezi la kuwepo kura ya maoni juu ya Muungano halitapewa nafasi? Rejea jinsi muswada wa sheria ya mabadiliko ya Katiba ulivyochanwa chanwa kule Zanzibar.
  • Lakini sasa si muda muafaka wa watanzania wote bila kufumba macho kuujadili kwa kina Muungano tulionao na nafasi yake kwa sasa? Je tunauhitaji kweli? Na kama tunauhitaji ni kwa muundo upi? Hapa kauli ya JK kwamba, Muungano usihojike inabidi aifute.
 
Wemependeza sana. Hivi kwa nini hawa watu wawasipewe wanachodai?
Hofu yangu wakipewa watadai kingine, tuwalipe kwa kuwanyonya nakuwatawala tangu 1964. Na hawataishia hapo. Watadai wakristo wote wahame zenj. Na mwisho watataka wakristo wote TZ wauwawe. Bhoko harum...................!
 
wakipewa tu wapemba wote na waunguja waliopo kariakoo tunawapiga mdedeshe na magorofa yao yote mali yetu....wapewe tu wabaki na magofu yao
 
Niambie hiyo dress code iliyoandikwa kwenye katiba yenu mpaka ZnZ ifananishwe na Iran, mbona mnachuki zenu binafsi nyie, its not secret kuwa ZnZ more than 80% ni waislamu na hilo ni vazi lao sasa makosa yako wapi?

Pumbaaaaaaa
madamX, issue sio dress code. Tazama mabango yao yameandikwa kwa lugha gani, a Tanzania lugha ya taifa ni ipi.
Sasa huo ujumbe wanamfikishia nani, viongozi wetu ama 'wanaowafadhili'.

Kuna zaidi ya kinachonekana hapa, agenda ya chini inaweza kuwepo. Mwisho wa siku watataka Zanzibar iwe peke yake itawaliwe Kidini. Hatuendi hivyo ndugu, sisi ni wamoja bado.
 
Last edited by a moderator:
Niambie hiyo dress code iliyoandikwa kwenye katiba yenu mpaka ZnZ ifananishwe na Iran, mbona mnachuki zenu binafsi nyie, its not secret kuwa ZnZ more than 80% ni waislamu na hilo ni vazi lao sasa makosa yako wapi?

Pumbaaaaaaa

Mama ww umeona mavazi lakini Mwingine kaona Lugha ndo maana kasema ni Iran. Uislam ucuingize kabisaaaaaaaaaaaa we madameeeeeeeee.
 
mh! Mungu atusaidie jamani .................. yaani AMANI ni kitu muhimu sana kwa binadamu yoyote.
Lakini mbona kwenye picha mstari wa mbele ni wanawake??? wamepata wapi huo ujasiri??? Mh! ngoja tuone ila issue ya kuchoma kanisa na gari la mtu ............very bad spirit .............anyway KILA CHENYE MWANZO KINA MWISHO.:thinking::thinking::thinking:
 
Mimi baada tu ya kuiangalia hiyo picha, ni kitu kimoja kimeniacha na hili swali, hivi hiyo lugha iliyoandikwa katika hayo makaratasi ndio lugha ya visiwani Unguja na Pemba(Zanzibar) au?...maana najua wanafikisha ujumbe hawa na bila shaka walikuwa wakiufikisha kwa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Muungano ambao lugha yake ya taifa ni KISWAHILI au ya kibiashara ni KIINGEREZA.

Mimi pamoja na hilo la lugha (ambapo naamini asilimia kubwa ya hao waliobeba hayo mabango hawajui kilichoandikwa), pia nimegundua kuwa wanaume ni waoga. Wamewatanguliza wanawake mbele ili kuepuka kisago na wakipigwa wanawake wapate la kusema. Pia huwa na kawaida ya kuwaweka watoto mbele - NYAMBAFFF!
 
Back
Top Bottom