Hapa ni Uingereza sio Manzese

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,295
33,079
Hapa ni Uingereza sio Manzese
513.jpg
Hapa ni Uingereza na wala sio kule kwetu kwenye daraja la kwanza la kuvuka barabara Tanzania

<tbody>
</tbody>
 
wewe huoni huyo mama ana viatu vyake hapo...? hiyo tu inaonyesha kwamba hiyo sio bongo...! ingekua bongo usingeona hivyo viatu.... ni dili kinyama huku kwetu.... yani ungevikuta posta vinauzwa tena kwa bei kama vile jamaa amenunua yeye mombasa....!
 
Kweli aisee.
 
hata ulaya nako wachafu pia mkuu!
Uchafu hauna kwao kila mahali pako na uchafu wake lakini uchafu wa ulaya huwezi kufananisha na uchafu wabongo hahahahahah

ukiondoa hayo makaratasi mbona pazuri tu? in fact better than Samora street.
Ina maana Samora Evenew sio kuzuri kabisa? Hhahahah

wewe huoni huyo mama ana viatu vyake hapo...? hiyo tu inaonyesha kwamba hiyo sio bongo...! ingekua bongo usingeona hivyo viatu.... ni dili kinyama huku kwetu.... yani ungevikuta posta vinauzwa tena kwa bei kama vile jamaa amenunua yeye mombasa....!
Yaani ingelikuwa bongo wangelimvua huyu mwanamke nguo zake zote hizo? Duhhhhhhhhhhh bongo kunatisha kweli hahahahahahhhhh

Tena viatu vizuri tu na bado anavyo miguuni, na hata hiyo skin tight ingekuwa ni dili.
ina Maana Viatu na hiyo Skin tight bongo big deal? kweli bongo kuna njaa huku nguo zinatumwa majalalani tu hata TV au Laptop na Mafriji ya kizamani waweza

kuokota majalalani Viti vya Makochi pia kila kitu waweza kuokota majalalani huku vitu vya kizamani havina thamani hata kidogo ndio huko nyumbani mnaviita Mitumba hata gari ya kizamani waweza kuikuta imetupwa kwenye sehemu za kutupia vitu vya kizamani bongo kwetu kweli kuna njaa sana Tanzania Umeme na maji Safi huko kwetu ni Big Deal hahaha njaa tupu nyumbani.
 
wewe huoni huyo mama ana viatu vyake hapo...? hiyo tu inaonyesha kwamba hiyo sio bongo...! ingekua bongo usingeona hivyo viatu.... ni dili kinyama huku kwetu.... yani ungevikuta posta vinauzwa tena kwa bei kama vile jamaa amenunua yeye mombasa....!
It's true
 
Back
Top Bottom