Hapa ni shule tu mpaka kieleweke, Achana nao Saint whatever

misnomer

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
200
69

<tbody>
</tbody>

5772_243364590353_742635353_8166254_7789328_n.jpg


 
Duh tofauti ni kubwa sana aise
Mwangalie mwalimu wao hapo amechoka kama nini
Ila hawa wa saint nani hii ni balaa
 
duuh wa kina kayumba wamepaujkaaa
hao st...... du af mwalim mwenyewe kajichokea .na anaonyesha ana hasira vibaya sana
sijui mwezi wa ngapii huu hajapata malipo yake jamaniii
 
At least afya yao iko njema.
Lakini picha iko kama staged.
Darasa lina wananfunzi 3 tu.
na hawajavaa sare.
 
Sina la kusema,hii ndiyo bongo.Maisha bora kwa kila mtanzania.


399205_10150697421483620_818678619_9304804_1607211938_n.jpg


008.jpg
 
Dah! kweli kuna tofauti kubwa kati ya wivu na usongo.
 
Back
Top Bottom