Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,801
- 59,274
@ Lizzy naona umeanza kuzeeka macho nayo yanapoteza nuru...lol Zitto na hereni, skin jeans wapi na wapi?
Hahaha. . . mi nimeangalia kichwa na shingo tu.
@ Lizzy naona umeanza kuzeeka macho nayo yanapoteza nuru...lol Zitto na hereni, skin jeans wapi na wapi?
Hahaha! Umenishtua sana ati... Siku ingine uangalie masikio na macho pia lol.Hahaha. . . mi nimeangalia kichwa na shingo tu.
Mi namuona kama Jerry Slaa
meya wa ilala
noooo huyo ni jeri silaa
Kama Mzazi unaona picha ya mtoto wako kwenye Magazeti ya udaku! Utafanyaje?
Unapenda sana vichwa wewe! Supu ya vichwa vya kuku na shigo zake lol
Hahaha! Umenishtua sana ati... Siku ingine uangalie masikio na macho pia lol.
noooo huyo ni jeri silaa
Unapenda sana vichwa wewe! Supu ya vichwa vya kuku na shigo zake lol
Kwa hiyo kwa kuwa watoto wetu wanaweza kosea ndo tuhalalishe uovu???????????? Theory gani hiyo?Unapomponda mtoto/ndugu wa mwenzako hujui wa kwako anafanya yapi usiyoyajua.......siku hizi watoto wengi wako hatarini, hata wa kwenu hawako salama!muache kumnyooshea huyu dogo vidole....
Kwa hiyo kwa kuwa watoto wetu wanaweza kosea ndo tuhalalishe uovu???????????? Theory gani hiyo?
Behavior Criminology Theory states that ' If a student starts dancing aggresively and passionately in public with stangers(tena Mh??) should immeadiately evacuated from school to minimise transmission to other students. The said student should be deported to any near by band or THT'
strength of theory
1. It explains why the students should be evacuated
2. It show how behavioral effect can be reduced in school
3. It gives the solution of the pindared student.
Weakness of the theory
1. It does not give a room for a student to defend herself/himself
Ha ha ha haaah!! Hii theory inatumika wapi?
Binti yuko from two huyo! Heri hiyo fedha ya ada baba alewee
Hicho ndio ulichokiona wewe tu basi? nenda jukwaa la lugha kama unajiona wewe ni mahili hapa hapahitaji masharouharo kama wewe.Hapa nachanganyikiwa kuliko picha yenyewe.