Hapa ni jikoni kwa brazameni dully sykes, karibuni sana!

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
Wikiendi hii, mapaparazi wa mtandao huu walitua pande za Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes a.k.a Mr.Misifa. Bahati mbaya hawakuweza kumkuta lakini waliishia nje ambako walivutiwa na hali ya jiko lake pamoja na dishi la Runinga yake. Hebu cheki ilivyokuwa...

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Huu ndio muonekano wa picha ya jiko la staa wetu Dully Sykes’ Handsome Boy’ ambaye picha yake inaonekana hapo juu

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Hapa ni mahali anapotumia kupikia chakula chake.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Baada ya kula huhifadhi vyombo vyake juu ya kochi hili la ‘mbavu za mbwa’ bila kuviosha ambapo nzi hufanya tafrija kwenye makombo. Hapa ni baada ya kupata kifungua kinywa.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Hili ndio kabati lake la kuhifadhia vifaa vyote vya jikoni.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni.Hili ndiyo Dish ambalo 50 Cent wa Bongo, Dully Sykes hulitumia kwenye Runinga yake, ambalo ameligeuza kamba ya kuanikia nguo.

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Pembeni ya nyumba ameegesha ‘ mkoko’ (gari) wake wa maana ambao hata hivyo ulikuwa na pancha katika tairi lake la mbele upande wa kulia.

http://www.globalpublisherstz.com/



 
This shit is illegal, invasion of privacy fulani, could be breaking and entering depending on how they entered.
 
hhahahahahaha
blazameni duli sakisi
hahahaha hapa home ni noma.
 
unajua huyu shigongo mpumbavu sana...mbona yeye haomnyeshi picha za kwa mama yanke shinyanga wanakopikia mavi ya ng'ombe
 
unajua huyu shigongo mpumbavu sana...mbona yeye haomnyeshi picha za kwa mama yanke shinyanga wanakopikia mavi ya ng'ombe

Lete picha za hiyo crib ya mama yake shigongo tuzione, kupikia mavi ya sijui nini inawezekana ni juhudi zake za kulinda mazingira kwa kupunguza ukataji miti hovyo..hongera mama shigongo.
 
hivi hizo picha zina ukweli wowote fu hana hata ka G/F kanakoenda kumsafishia or H/gal
 
Huyu dogo pesa zote anazopata zinaishia kwa mabinti nini akarabati hata jiko jamani huko ****** kutakuwaje sasa?
 
Mnamlaumu bure Shigongo,kwanza gazeti lenyewe mmeambiwa ni UDAKU which means umbeya,sasa mtamshitaki wapi?
Halafu hata kama ni kweli,hayo mengine hayahitaji pesa ili jiko lionekane smart ni usafi tu ambao haununuliwi.
 
Huyo dully ndye anayekutajirisha ww shigongo na unyonyaji wako! na ww uliyepiga hiyo picha tuwekee picha za gheto lako tulione!! Kila mtu anajua maisha yalivyo magumu hapa bongo, ni vipi kumdhalilisha kwa kuweka coment kwenye hizo picha wakati hamkuingia hata ndani? huo ni wizi, wadaku wananunua magazeti nyie mnapata pesa kutoka kwa hao wasanii...mimi nadhani imefika kipindi wasanii mdai malipo kwa kila picha yako inapoweklwa ukurasa wa mbele
 
Nimesema sitaki kununua vijarida vya umbea,kwani vinavunjia watu heshima na hata wengine ndoa zao zimeenda na maji.
 
Huyo dully ndye anayekutajirisha ww shigongo na unyonyaji wako! na ww uliyepiga hiyo picha tuwekee picha za gheto lako tulione!! Kila mtu anajua maisha yalivyo magumu hapa bongo, ni vipi kumdhalilisha kwa kuweka coment kwenye hizo picha wakati hamkuingia hata ndani? huo ni wizi, wadaku wananunua magazeti nyie mnapata pesa kutoka kwa hao wasanii...mimi nadhani imefika kipindi wasanii mdai malipo kwa kila picha yako inapoweklwa ukurasa wa mbele


halafu kama walivyosema walimkuta hayupo,nani aliwapa ruhusa ya kuingia ndani kwamtu na kuchakura chakura?..hap ni jikoni cjui wapi na wapi...nani awaruhusu kuyafanya hayo na mwenye mali/nyumba hamkumkuta?....tabia mbaya sana hiyo.
 
kweli mr. Misifa hayo sio mambo. usafi ni kitu cha muhimu na sio usafi wa mwili tu wakati home ni balaa kwa uchafu
 
chuki binafsi hizi !yaani unaenda kwa mtu badala ya kuchukua kitu kizuri ulichokuta wewe unaangalia negative tu!ina maana hakuna story nzuri huyu muandishi angeweza kutoka nayo hapo kwa dully!?ujinga kabisa!mwanamziki redman wa marekani kuna kipindi alikuwa anakaa kwenye kageto tu but Mnet walitengeneza crib ya kwake na wanaiuza.iko poa tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom