Iringa ya zamani!Duh!mm ni nhehe,kwetu iringa bt sijawahi shuhudia hii k2,au ni iringa ya wapi wanakula mbwa?
mod toeni picha za ajabu ajabu hizi
fried snake?!!!!!Menu. Hmmm...do you get the banana split or the fried snake? - (ya 5 kutoka juu)
.fried snake?!!!!!
.
Mkuu Ngongo umekoma nini sasa hapo? ... fafanua basi kidogo ... hivi ukiletewa chakula kama hicho na hujaambiwa kuwa ni fried snake with chips si unaweza ukala ukijua kuwa ni samaki?