Hapa ndo kuna usalama

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Polisi walikuwa wanamfukuzia mtuhumiwa wao,jamaa anayefukuzwa mara akakutana na msichana aliyevaa sketi ndefu,
akamwomba huyo msichana ili ajifiche ndani ya sketi halafu msichana asimame.
msichana kamhurumia jamaa na jamaa kafunikwa na sketi,ile polisi wanafika.
polisi:we msichana umemwona jamaa mmoja kakatiza?
Msichana:sijamwona mtu yoyote.
polisi walipofika mbali msichana akaanza kumsihi jamaa.
Msichana;we toka bhana polisi wameshaondoka
jamaa:mi naogopa kutoka humu ndo kunausalama zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom