Hapa ndipo ninapoipendea CCM

Kwa hii style CCM inachukua tena Ikulu 2015. na hii siyo mpya kwa ccm, kwa wanachadema muulizeni Bob makani jimboni kwake miaka yote aliyokuwa akigombea alikuwa anaumizwa vipi, I remember it was the same style. Mwananchi akisha jua kuwa mkutano wa CCM kuna kupiga mpunga na wa chadema ni maneno matupu basi mikutano ya ccm itafulika ile mabaya. vijana wengi wana njaa ya kufa mtu watarudi ccm
 
Back
Top Bottom