Hapa ndio kiwese kimakata no kiyoyozi, no move...............!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Ndio uko safarini na kafamilia kako mara tumafuta ulitoweka tunaishia katika mazingira haya......inakuwaje hii????....!!

2d14l76.jpg
 
0700 01X025 - Halooo !! bwana mdogo njoo na mafuta lita tano hapa kona ya kuingia mikumi gari limekata wese. Tatizo afike hapo akute hao wadudu bado wanazunguka hapo !!!
 
mkuu ukiona hivo, andika wosia, then chomoka upigane kwa kutumia sarakasi za kimasai watatoka baruti
 
Hawa wanyama wana uchu kweli,angalia jinsi wanavyomtazama mpiga picha!
 
Ndio uko safarini na kafamilia kako mara tumafuta ulitoweka tunaishia katika mazingira haya......inakuwaje hii????....!!

2d14l76.jpg
Hawa ni Simba wanaofugwa hivyo hawana madhara kama wa porini maana walivyokaa ni kama hawajali kitu,ingekuwa wa porini hapo ungeona shughuli madirishani.
 
0700 01X025 - Halooo !! bwana mdogo njoo na mafuta lita tano hapa kona ya kuingia mikumi gari limekata wese. Tatizo afike hapo akute hao wadudu bado wanazunguka hapo !!!
...You really made my day!!!!.......:becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
unasali sala za mwisho..
kisha unajitosa kuwa 'donner meat' yao..:becky::becky:
 
Unatest unafungua kioo nusu unatoa mkono mmoja nje ukiona hawana habari na mkono mbona shwari unafungua mlango unazunguka nyuma ya boneti kuchukua dumu ukanunue mafuta huku unawaambia shsssss shsssss shsssss shssssss sogeeni kule bwana:becky::becky::becky:
 
Back
Top Bottom