Hapa Nani Alaumiwe?

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Wanajeshi wa Marekani ndio wameshafungasha virago toka Iraq baada ya kukosa WMD, lakini mauaji yanaendelea kama kawaida, kila uchao! Kwa kifupi ni kwamba hawa Waarabu wanauana wenyewe kwa wenyewe. Ingelikuwa ni vema kama wangekaa na kujenga Iraq mpya badala ya mapambano kati ya Wasuni na Washia!
201091910450460734_20.jpg

20109191086278580_20.jpg

One of blasts occurred in the residential Mansour district, Iraq
 
Alaumiwe Sadam Hussein kwa kuweka mazingira ya kushambuliwa.
 
Wanajeshi wa Marekani ndio wameshafungasha virago toka Iraq baada ya kukosa WMD, lakini mauaji yanaendelea kama kawaida, kila uchao! Kwa kifupi ni kwamba hawa Waarabu wanauana wenyewe kwa wenyewe. Ingelikuwa ni vema kama wangekaa na kujenga Iraq mpya badala ya mapambano kati ya Wasuni na Washia!
201091910450460734_20.jpg

20109191086278580_20.jpg

One of blasts occurred in the residential Mansour district, Iraq

Alaumiwe huyu George W. Bush ndio alieleta matatizo huko Iraq. Mwenyeezi mungu ndie atakaye muhukumu mwizi wa Mafuta ya watu wa [URL="http://en.wikipedia.org/wiki/File:George-W-Bush.jpeg"]Iraq Gaidi namba moja wa dunia.
[/URL]
 
Wanajeshi wa Marekani ndio wameshafungasha virago toka Iraq baada ya kukosa WMD, lakini mauaji yanaendelea kama kawaida, kila uchao! Kwa kifupi ni kwamba hawa Waarabu wanauana wenyewe kwa wenyewe. Ingelikuwa ni vema kama wangekaa na kujenga Iraq mpya badala ya mapambano kati ya Wasuni na Washia!
201091910450460734_20.jpg

20109191086278580_20.jpg

One of blasts occurred in the residential Mansour district, Iraq
Alaumiwe anayetengeneza silaha!!
 
Mlaumiwe ninyi mnaotafuta wa kumlaumu.
Haya hayanabudi kutukia kwa kuwa TUNAENDEKEZA SNA AUDINI
 
Ilaumiwe itikadi inayoamini katika ubabe, mauaji na matabaka.
 
Alaumiwe mtu anayetumia akilizake kuchukua silaha na kwenda kumuua nduguye huku akijua madhara yake!...simlaumu mtengeneza silaha, maana kwa mtu mwenye dhamira atatumia hadi jiwe kuua, kama wanavyofanya wenzetu wa hapo Middle East!
 
to be honest napata tabu sana kuelewa kwa nini mtu awalipue wananchi wenzake kama ivi tena the funny thing ni ktk residential, si aende basi huko kwenye kambi za jeshi basi ieleweke moja kua anapinga jeshi! kuwalaumu wamarekani kwa issue kama hii ni kua unresonable tu hata kama wao wana blame zao ila ni ktk upande wa pili sio hii! cjui anayechekelea kitu kama iki mtu akija kumlipua kwake na watoto wake atachekelea tu!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom