Hapa Mwanza hii ni kero!

Mimi ni mkazi wa Mwanza nataka kukujibu kwa ustadi.
1. Barabara ya Pamba inajengwa na Tanroad ambayo iko chini ya wazari ya John Magufuli Pombe..
...Maswali:-
..a). Magufuli ni mwana CCM au chadema
..b. Foleni huwepo kati ya Buzuruga-Mabatini; foleni hii huwepo kati ya 1:30-3:00 Asubuhi na 11:45 hadi saa 1:30 Jioni.
Tatizo hili litatatuliwa kama barabara zitajengwa aina za:-
1. Two ways Traffic kutoka kutoka:-
i. Kisesa-Nyerere Road
ii. Airport-Nyerere Road
iii. Buhongwa-Pamba Road

2. Watengeneze Fry Overs pale Mabatini kuruhusu watu kuvuka bila kuzuia magari katika lile bumbs la mabatini.
3. Barabara za by pass zijengwe
i). Toka Airport kupitia Miti mirefu hadi Buzuruga au Nyakato Sokoni.
ii). kutoka Usagara - Kisesa.

Shughuli hizi 3 za kujenga
a). By pass
b). Fry Overs
c). 2,3 or 4 ways traffics hujengwa na wizara gani? Si ya Magufuli?

Tuache kumzingizia Mhe. Ezekiel Wenje (Mb), naomba tumzingizie siku CHADEMA ITAINGIA MADARAKANI
 
Last edited by a moderator:
jimbo yataludi tena bila jasho,sisi tulimchoka Masha na Diallo,wapo vijana wa uhakika sasa wana piga jaramba muulize huyo mjaluo wako hata kazi aliyoomba haijui na sijui anatarajia kuwaambia nini wanamwanza mwaka 2015.

hoja si kwamba CCM haina umoja wa vijana , je inao vijana wenye hekima na busara kulio SIOI SUMARI MWEEIGULU NCHEMBA, LUSINDE , NAPE MNAUYE?SI hilo je CCM na magamba ni kipi wamekifanya wana mwanza na pamba yao TCBkuanzisha ufisadi na kutetewa na serikali hilo vipi?je mizengo pinda mwaka jana kaenda kutangaza bei ya juu ya pamba , huku nyuma waziri wake magembe kwenda kuipunguza na kulazimisha wakulima wakubali kwa maslahi ya mafisadi hapo je?pia pesa za kusiisimua mdororo wa uchumi zilizotolewa kwa viwanda na wanunuzi wa zao la pamba kuliwa na kutokuwa na majibu mpka leo nalo CCM wamelisawazisha?kimsingi CCM (MAGAMBA)kisha zimebaki propoganda za lusinde na hiza.
 
Cjui ni kiongozi gani yule aliosema tz ni tajiri maana magari ni mengi sana! Ha ha!
 
Mimi ni mkazi wa Mwanza nataka kukujibu kwa ustadi.
1. Barabara ya Pamba inajengwa na Tanroad ambayo iko chini ya wazari ya John Magufuli Pombe..
...Maswali:-
..a). Magufuli ni mwana CCM au chadema
..b. Foleni huwepo kati ya Buzuruga-Mabatini; foleni hii huwepo kati ya 1:30-3:00 Asubuhi na 11:45 hadi saa 1:30 Jioni.
Tatizo hili litatatuliwa kama barabara zitajengwa aina za:-
1. Two ways Traffic kutoka kutoka:-
i. Kisesa-Nyerere Road
ii. Airport-Nyerere Road
iii. Buhongwa-Pamba Road

2. Watengeneze Fry Overs pale Mabatini kuruhusu watu kuvuka bila kuzuia magari katika lile bumbs la mabatini.
3. Barabara za by pass zijengwe
i). Toka Airport kupitia Miti mirefu hadi Buzuruga au Nyakato Sokoni.
ii). kutoka Usagara - Kisesa.

Shughuli hizi 3 za kujenga
a). By pass
b). Fry Overs
c). 2,3 or 4 ways traffics hujengwa na wizara gani? Si ya Magufuli?

Tuache kumzingizia Mhe. Ezekiel Wenje (Mb), naomba tumzingizie siku CHADEMA ITAINGIA MADARAKANI

Mkuu kazi ya halmashauri ya jiji la Mwanza ni nini na kazi ya Meya wa jiji la Mwanza ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Na itawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!

Mmepotea rudini kundini matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!

Kama upo mwanza azisha vugu vugu la kurudisha jimbo kwa wenye dola!

Umeelewa we KIJANA?

Mkuu, unafurahisha sana maana kwa mwanza wenye dola ndo hao tayari wanashika majimbo ya mwanza mjini na Uk sema mwanza tumewahi kusoma alama za nyakati,Hao CCM hapa walisha kula Nyama zao tar 5,Feb kwa maana hiyo hayo ndiyo mazishi na Arobaini ya CCm Mwanza.OVER!
 
Mbona Mwanza iko flesh tu, hizo foleni mbona mimi huwa sizioni.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Mkuu mtafute public relations wa jiji, anaitwa joseph mlinzi. Hili anaelewa pa kuliwasilisha
 
Igeni mfano wa watu wa Arusha hawatishwi na kuwa na mbunge au kutokuwa na mbunge kwa mizengwe, wao wameapa kuchagua upinzani.

Kutekeleza wajibu ni haki ya serikali kwa wapiga kura wake hata kama hawakukichagua chama hicho.

Hivyo tume ya katiba acha umboyoyo wako hapa jukwaani kwa kuwatisha watu eti watajuta!!!!!

Tumeshajuta tayari miaka hamsini sasa, au wewe hulioni hilo?

Hapa R Chuga hata jiwe linafaa kuliko gamba, haturudushi gamba kamwe hata wakituchinja wote kama walivyoanza huko Meru haturudi nyuma hapa ni GWANDA TU
 
Mimi ni mkazi wa Mwanza nataka kukujibu kwa ustadi.
1. Barabara ya Pamba inajengwa na Tanroad ambayo iko chini ya wazari ya John Magufuli Pombe..
...Maswali:-
..a). Magufuli ni mwana CCM au chadema
..b. Foleni huwepo kati ya Buzuruga-Mabatini; foleni hii huwepo kati ya 1:30-3:00 Asubuhi na 11:45 hadi saa 1:30 Jioni.
Tatizo hili litatatuliwa kama barabara zitajengwa aina za:-
1. Two ways Traffic kutoka kutoka:-
i. Kisesa-Nyerere Road
ii. Airport-Nyerere Road
iii. Buhongwa-Pamba Road

2. Watengeneze Fry Overs pale Mabatini kuruhusu watu kuvuka bila kuzuia magari katika lile bumbs la mabatini.
3. Barabara za by pass zijengwe
i). Toka Airport kupitia Miti mirefu hadi Buzuruga au Nyakato Sokoni.
ii). kutoka Usagara - Kisesa.

Shughuli hizi 3 za kujenga
a). By pass
b). Fry Overs
c). 2,3 or 4 ways traffics hujengwa na wizara gani? Si ya Magufuli?

Tuache kumzingizia Mhe. Ezekiel Wenje (Mb), naomba tumzingizie siku CHADEMA ITAINGIA MADARAKANI

mwita,majibu yako ni mazuri sasa naomba unijibu,viraka vya barabarani kuzibwa na zege badala ya lami tumlaumu nani?pita mlango mmoja,lumumba na oraxy pamba.
 
Last edited by a moderator:
Na itawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!

Mmepotea rudini kundini matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!

Kama upo mwanza azisha vugu vugu la kurudisha jimbo kwa wenye dola!

Umeelewa we KIJANA?

Akili ingeongezwa kama mafuta kwenye gari ungeshauriwa ukaongeze haraka sana maana utazima wakati wowote, Mwanza hakuna Mbunge wa ajabu, Labda kuna watu wa ajabu mmoja wapo wewe. Ukitumwa muulize alokutuma akupe anuani vizuri. Ukibeep Mza tunapiga tena bila kukagua salio kwanza.
 
Mkuu kazi ya halmashauri ya jiji la Mwanza ni nini na kazi ya Meya wa jiji la Mwanza ni nini?[/QUOTE]
Maeneo hayo niliyoyataja hapo juu hayapaswi kujengwa na halimashauri and that is President promised some of fry overs.

ritz is the president a mayor of Mwanza or the president of the Nation?
 
Last edited by a moderator:
Pale pamba road naona kumesuswa kabisa n muda sasa mkandarasi yuko kimya inasababisha foleni kubwa pale njiia panda ya bugando,a.k,a kwa kishimba
 
Back
Top Bottom