Hapa Mwanza hii ni kero!

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,264
Hili ni tatizo la foleni kuanzia Pamba road kuna kipande cha barabara mbele ya kituo cha polisi mkandarasi hana vifaa au pesa toka January anahangaika tu hapo.

Mabatini nako ni kero unaweza chukua saa zima kwenye hiyo bump; ukienda Buzuruga kuna vituo vya hiace vinatazamana vinafanya pawe na foleni isiyo na lazima; nataka nijue nani anahusika?
 
Na itawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!

Mmepotea rudini kundini matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!

Kama upo mwanza azisha vugu vugu la kurudisha jimbo kwa wenye dola!

Umeelewa we KIJANA?
 
Watu wa Mwanza tuliapa kuwa CCM kurudi madarakani mpaka waturudishe usafiri wa treni Mwanza to Dar. Vinginevyo wataleta matamasha kama walivyoleta feb 5, lkn miezi miwili baadaye April 1, wakagaragazwa kwenye uchaguzi wa udiwani kirumba! M4C ni endelevu!
 
Sijui unaota? Tena mchana!.
 
Watu wa Mwanza tuliapa kuwa CCM kurudi madarakani mpaka waturudishe usafiri wa treni Mwanza to Dar. Vinginevyo wataleta matamasha kama walivyoleta feb 5, lkn miezi miwili baadaye April 1, wakagaragazwa kwenye uchaguzi wa udiwani kirumba! M4C ni endelevu!

Sasa wewe umenena,

Umenifikishia muhusika na nitaliforward kwa wanaCCM, kumbe mkipatiwa gari moshi tu CCM imerudi madarakani?
 
jimbo yataludi tena bila jasho,sisi tulimchoka Masha na Diallo,wapo vijana wa uhakika sasa wana piga jaramba muulize huyo mjaluo wako hata kazi aliyoomba haijui na sijui anatarajia kuwaambia nini wanamwanza mwaka 2015.
 
N aitawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!

Mmepotea rudini kundini! matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!

Kama upo mwanza azisha vugu vugu la kurudisha jimbo kwa wenye dola!

Umeelewa we KIJANA?

Temeke na Kinondoni hakuna foleni?
 
Mi nawaombeni mnipe majibu ya kero yangu sijaomba mbishene.pia kuna tatizo la viraka bararani kuzibwa kwa zege pita lumumba,mlango1,pamba rd mbele ya oraxy na mbele ya duka makufuli.
 
Watu wa Mwanza tuliapa kuwa CCM kurudi madarakani mpaka waturudishe usafiri wa treni Mwanza to Dar. Vinginevyo wataleta matamasha kama walivyoleta feb 5, lkn miezi miwili baadaye April 1, wakagaragazwa kwenye uchaguzi wa udiwani kirumba! M4C ni endelevu!

kurudisha treni ni wajibu wao.
 
kama sio wabunge wenye uchungu na mataso ya watu wa mwanza,huo ujenzi wala usingekuwepo.walikuwepo wabunge wasisiemu mpaka reli waliua sembuse lami..chadema for life
 
N aitawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!

Mmepotea rudini kundini! matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!

Kama upo mwanza azisha vugu vugu la kurudisha jimbo kwa wenye dola!

Umeelewa we KIJANA?

Igeni mfano wa watu wa Arusha hawatishwi na kuwa na mbunge au kutokuwa na mbunge kwa mizengwe, wao wameapa kuchagua upinzani.

Kutekeleza wajibu ni haki ya serikali kwa wapiga kura wake hata kama hawakukichagua chama hicho.

Hivyo tume ya katiba acha umboyoyo wako hapa jukwaani kwa kuwatisha watu eti watajuta!!!!!

Tumeshajuta tayari miaka hamsini sasa, au wewe hulioni hilo?
 
KWANI PESA ZA BENK YA DUNIA MMESHA ULIZIA ZIMEFANYA KAZI GANI?ok ofisi ya wenje ipo nendeni mfikishe malalamiko na siyo muongee kama watawaliwa bali zungumzeni kama watawala maana nyie ndio walipa kodi wa jiji na lazima zitumike kwanza kwenye vitu vya msingi.
 
jimbo yataludi tena bila jasho,sisi tulimchoka Masha na Diallo,wapo vijana wa uhakika sasa wana piga jaramba muulize huyo mjaluo wako hata kazi aliyoomba haijui na sijui anatarajia kuwaambia nini wanamwanza mwaka 2015.

Weweee!!! Tena futa kauli yako mara moja wakina Jack masamaki ndio mnawategemea?basi mmekwisha,CHADEMA FOR LIFE.
 
Tumejuta sana kwa haya yafuatayo;

1.0 Umeme usiokuwa na uhakika,

2.0 Mfumuko wa bei usiooneka kupata suluhu,

3.0 Huduma mbovu za kijamii hasa mahospitali, mashuleni.

4.0 Miundo mbinu duni toka tupate uhuru hasa barabara.

5.0 Kushindwa kujitegemea kwa miaka hamsini licha ya kuimba kila siku siasa ya ujamaa na kujitegemea.

6.0 Kuwa na serikali legelege isiyojali wananchi bali imekumbatia mafisadi na kuwaona kama miungu watu.....

Wewe tume ya katiba nina uchungu sana na upotoshaji wako!!!!!!
 
KWANI PESA ZA BENK YA DUNIA MMESHA ULIZIA ZIMEFANYA KAZI GANI?ok ofisi ya wenje ipo nendeni mfikishe malalamiko na siyo muongee kama watawaliwa bali zungumzeni kama watawala maana nyie ndio walipa kodi wa jiji na lazima zitumike kwanza kwenye vitu vya msingi.
sasa jacob kwani wenje anapita barabara ipi hadi sisi tuende ofisini kwake?
 
Na itawacost sana maana hadi 2015! mtajuta kwa nini mlichagua wabunge wa ajabu ajabu!

Mmepotea rudini kundini matatizo yenu yatashughulikiwa haraka!

Kama upo mwanza azisha vugu vugu la kurudisha jimbo kwa wenye dola!

Umeelewa we KIJANA?

unamegwa!
 
Back
Top Bottom