hapa mkuu wa kaya anatoka wapi, mimi imenishitua kidogo sielewi elewi!!!!!1

DUH kweli wee ni msukuma ndugu yangu hute
mbona jinalako sio masanja?
harfu hapo wakuu wanasema ni kidongo chekundu, mahali pa kurekebisha mwili,
yaani kama mimi navyokwenda GYM vigogo wanakwenda hapo
.

hapo alitembelea vijiji vya wandorobo bila shaka huko arusha, wale ambao wako primitive hadi leo, lakini asingekuwa rais ningefikiri labda alienda kuchimba....,(utani tu, mi ni msukuma mtani wake, usimaindi mkuu wa kaya ok).
 
Kwa Babu wa Bagamoyo!

Babu wa Bwagamoyo: Eehh mjukuu wangu wanakuandama sana sasa nenda uwe mkali wakuogope. Tena usigeuke nyuma ikaja poteza nguvu, gendaga bila kugeuka.

JK wa hapa hapa: eeee inshallah babu ngoja nikawabane mbavu watan'tabua km mie ni msirikali.

tehe tehe, sasa ngoja nikaanze na SEMINA ELEKEZI, teh teh. Sijui kaposho katakuwaje huko eni wei!

na usongo na yule ........eupe**** mbishiii sijui atajing'atua au? duuh sijui nimwanze vipi? Pengine Makama atansaidie ishallah.
 



Duh! Wacha waje watueleze. Rweyemamu si yumo humu ......
 
Hapo anakagua maendeleo ya ujenzi wa zahanati katika maeneo fulani fulani ya vijiji kule Chalinze. Hiyo ndio maisha bora kwa kila mtanzania kwa mujibu wa kauli mbiu yake
 
Back
Top Bottom