hapa mkuu wa kaya anatoka wapi, mimi imenishitua kidogo sielewi elewi!!!!!1

toa sasa liavata lako hilo kama sio kiburudisho
What do you mean by ''Kiburudisho'' mkuu bado uko zile era za mababu nini kuona mwanamke ni kiburudisho? Wanawake mpo hapo jamni? au unafikiriaje ndugu yangu?
 
kuna siku hatabakwa huyo na kukurupuka kwake, yeye kila kitu anadhani kiburudisho, na hiyo yote alikuwa anapima upepo, sijui hatakua kabila gani huyo?
What do you mean by ''Kiburudisho'' mkuu bado uko zile era za mababu nini kuona mwanamke ni kiburudisho? Wanawake mpo hapo jamni? au unafikiriaje ndugu yangu?
 
What do you mean by ''Kiburudisho'' mkuu bado uko zile era za mababu nini kuona mwanamke ni kiburudisho? Wanawake mpo hapo jamni? au unafikiriaje ndugu yangu?

Sasa hapa unachobisha ni nini mkuu? Yaani wewe haukubali kwamba wanawake ni viburudisho vya wanaume? mbona hilo liko wazi kabisa!
 
Back
Top Bottom