Hapa Mbongo amechakachua!!!

Nilikuwa natafuta orodha ya viwanja vikubwa kabisa vya soka duniani...katika pita pita yangu kwenye net nikaibukia kwenye wikipedia na kukutana na habari hii.

Tafadhali soma hii link hapa chini
Lake Tanganyika Stadium - Wikipedia, the free encyclopedia

hivi ni kweli kuwa Lake Tanganyika stadium, Kigoma una sitting capacity ya watu 60,000? siamini!!!

Niliwahi sikia hii kitu kabla na kuna wakati nilibahatika kufika kigoma na kuuona huu uwanja. Ni kweli sitting capacity yake ni watu 60,000. Hilo halina ubishi na hakuna uwanja wa kuufikia hapa tz ukiondoa uwanja mpya wa taifa.

Tatizo la uwanja ule hauna matengenezo na uko kwenye state of neglect......pia design yake siyo nzuri sana...
 
its truu ule uwanja ni mkubwa uko eneo la mnarani pale karibia na mahakama ya mkoa,serikali ingeukarabati
namsifu aloweka link ni kuutangaza tuige mfano wake tutangaze vivutio vingine Tanzania. msiudharau mkoa wa kigoma wana timu yao pia nzuri sana,Nimeishi kigoma ni mkoa ambao ni wakarimu sana na ukifika mgeni utajulikana ww ni mgeni,bar maarufu kam website, sandra nk ni makutano ya wafanyakazi wote mida ya jioni kuanzai TRA,PCCB,NMB,NBC,CRDB nk mnajikuta mnajuana wote na ukiwa na sherehe kama harusi nk ndio usiseme utachangiwa na kila mtu hata kama unafanyia harusi mkoa mwingine lazima wakuandalie receeption ktk ukumbi maarufu kama kwa MTEI nimesahahu jina.vyakula raha pia.I love kigoma na migebuka yake
 
Hayo yote sawa kabisaila tatizo ni washirikina sana.
 
Back
Top Bottom