Hapa lazima maisha yawe bara hapa!

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Kwa mtindo huu,ni wabunge tu na matajiri ndo wanao furahia maisha,...wengi tuna washabikia katika siasa kumbe ni mlango wa ninyi kujipalia ulaji na kutusahau watanganyika wengine,..

Kwanini mnashindwa kukemea kupanda bei za bidhaa namna hii bila mpango?
Baada ya miezi miwili tutaishi vipi?
Nilikua nanunua mafuta ya taa 850 @lita,ona hii ya leo

4.JPG
 
Bei hiyo ni sawa na dola za kimarekani (2000/1504)*3.785412 kwa gallon ya kimarekani; yaani dola 5.0338. Bei ya wasitani kwa Marekani ni dola 3.40 kwa galoni, kuna sehemu nyingine wanapata futa lile kwa bei nafuu zaidi angalia hii hapa chini. Kwa mfumo huo, inatakiwa pato la kawaida la mtanzania liwe ni aslimia 48 zaidi ya lile la wamarekani!!. Kima cha chini marekani ni dola 7.50 kwa saa, kama shillingi 2,346,240 kwa mwezi.

attachment.php


3014060_com_gasprices.jpg
 
Mchanganuo wako una mantiki. Hata hivyo JK hawezi kukusikiliza hata kidogo
 
Na bado.....huu ni mwanzo tu wa maisha bora kwa kila mtz na ni mwanzo tu wa kasi zaidi,ari zaidi,na nguvu zaidi za kikwete na ccm na ccm-b.............tutajuta kuzaliwa tz.....lazima tupitishe katiba itakayokuwa na kipengele cha kukopa uongozi kutoka ng'ambo.......mbona kila siku viongozi wetu wanakimbilia kwenda nje kuomba misaada ya fedha?.kwa nini hawaombi misaada ya kutusaidia marais, w/mkuu, wasajili wa vyama,wakurugenzi wa takukuru?.............mi nimechoka sana naona kila kiongozi yupo kwa maslahi yake japo maslahi na uroho unatofautiana kwa mfano..........unyama unaofanywa naccm na kikwete dhidi ya watz wenye rasilimali lukuki hauwezi kuwa sawa na unyama utakaofanywa na chadema wakichukua madaraka.............ningefurahi sana iwapo wabunge wa upinzani wangekataa mishahara mikubwa/minono wanayopewa kwa maslahi ya nchi na watz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom