hapa kuna utata

mambo mmu,

jaman kuna ka mkasa kametokea kwa jiran yangu kamenipa maswali kidogo
Jana jirani yangu ni Mnijeria, ameniita akaanza kulalamika kwamba binti wa kazi kampa mwanae nyonyo, ilikuwaje?? mwanamama huyu alikuwa nje na binti alikuwa ndani na mtoto wa miaka 5, mama akasikia binti na mtoto wanacheka ndani, akaita akamuuliza binti kuna nini, binti  akajibu hakuna kitu. Mara mtoto akatoka akamwa mbie mamake kuwa sada( house girl) amenipa nyonyo, mama akashituka, sasa kwa vile mama yule hajui kiswahli vzur ndio akaniita niongoee na huyo bintie, kumuulza house girl kwa nn kimetokea akaniambia, yy alikuwa ameinama sasa nyoyo ikatoka nje ya blouse mtoto alikuwa chini so akaona ndio akamwambia mama ake lakini yy hakumpa, binti hakuishia hapo, akaniambia huyu mtoto( yaan hako ka boy ka miaka 5) kana tabia mbaya, eti huwa kana tabia ya kumshika makalio halaf kanasema nzuri sana( yaan makalio ya huyo dada ni mazuri sana) akaongeza kuwa kuna siku huyo mtoto alifanya hivyo mbele ya baba ake, na baba ake akacheka tu.Hapo maswali yakanijia nan anasema ukweli?? kama kweli huyu dada alimpa mtoto chuchuchu yake alikuwa namaanisha nn haswa, au alikuwa anataka nn??, na huyu mtoto kunani kumshika housegirl wowowo na kusema nzuri sana?? na baba mtt nae vp kuchekelea mwanae kumshika dada bambataa,???

hapa pana utata

huyo mtoto itakuwa anaona ya wazazi wake wakishika sio bure kwani unafikiri kayatoa wapi we muulize mamaye kama huwa wanashikana mbele ya dogo..
 
Mtoto wa kiume akionyesha urijali huwa anasifiwa kwahiyo sio ajabu dada wa kazi akawa anasema kweli kuwa mzee huchekelea kitendo cha mwanae hata kama hana mahusiano na huyo dada.

Kuhusu nyonyo siku hizi nasikia wadada wa kazi huwa wanawatumia watoto wanaowaangalia kujiridhisha kingono. Nilishasikia mmoja alimfundisha mtoto kumnyonya sehemu zake za siri kwahiyo inawezekana huyu nae alikua tu kwenye harakati za kujiridhisha kimwili na sio vinginevyo.

Huyo mama akae chini na mwanae pekee amhoji kuhusu huyo dada na mambo ambayo huwa wana/anafanya wakiwa wenyewe nyumbani. Ni ngumu sana kwa mtoto wa miaka mitano kuwa muongo kiasi cha kuweza kutunga story nzima kwahiyo kama kuna tatizo kwa huyo dada iwe na baba mtu au na mtoto atajua tu. Na ajifunze kuwa karibu na mwanae kimalezi na kimaongezi, sio anamwachia kila kitu dada wa kazi mpaka mambo ya ajabu ajabu yatokee humo humo ndani kwake na yeye apitwe.

kwenye hiyo bodi ninaweza amini maana unakuta dada wa kazi hatoki nje lakini nyonyo zinazidi kuwa kubwa tu hasa wale wanaolea watoto wa kiume job true true...
 
OOOPS, The child and the h/girl always and habitually practice the game, the h/girl is teaches the boy, so the boy has no knowledge of the best chance do it. wewe bwana...the h/girl and the baba mji have something in comon..ooooh!
 
Malezi ni kitu kigumu sana, kuna dada alikuwa analalamika,ana mtoto wa kiume ana miaka minne, sasa kumbe H/G huwa anakachukua kaboy na kasichana kengine anaingia nao chumba cha jirani ambacho ni cha vijana wawili wanaofanya kazi ya bodaboda kwa hiyo most of the time mchana wanakuwa out of home, huko anawaonyesha movie za ngono then anawaambia watoto wa practice. Mama akaanza kuona kitoto chake kinabadilika tabia, unaambiwa mama akiwa anabadili nguo dogo akiona tu paja la mamaake anapagawa balaa,mama kufuatilia ndo kapata picha nzima
 
Ni sawa kabisa mkuu, wazaz wanatakiwa kuwa makini sana na watoto coz huwa wanajidai hawaoni wala hawaangalii bt wanacopy kweli na matokeo yake ndio hayo ya kujaribia kwa ma house girl
huyo mtoto itakuwa anaona ya wazazi wake wakishika sio bure kwani unafikiri kayatoa wapi we muulize mamaye kama huwa wanashikana mbele ya dogo..
 
Malezi ni kitu kigumu sana, kuna dada alikuwa analalamika,ana mtoto wa kiume ana miaka minne, sasa kumbe H/G huwa anakachukua kaboy na kasichana kengine anaingia nao chumba cha jirani ambacho ni cha vijana wawili wanaofanya kazi ya bodaboda kwa hiyo most of the time mchana wanakuwa out of home, huko anawaonyesha movie za ngono then anawaambia watoto wa practice. Mama akaanza kuona kitoto chake kinabadilika tabia, unaambiwa mama akiwa anabadili nguo dogo akiona tu paja la mamaake anapagawa balaa,mama kufuatilia ndo kapata picha nzima
makubwa haya mh Mungu atusaidie tu na hawa mabinti jaman kha
 
duh hii inatisha jaman,

Back
Top Bottom