Hapa Kuna Ukweli???? UNEMPLOYMENT ESTIMATES FOR THE YEAR 2011

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Wana JF nimeshitushwa sana na taarifa zilizopo kwenye website ya Takwimu Tanzania! Mbona ipo kinyume na kauli ya wengi kwamba ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa ndani ya nchi yetu na Africa kwa ujumla? Au mimi sielewi wakuu? naombeni msaada wa interpretation.


The 2006 Integrated Labour Force Survey shows that 2,194,392 persons were unemployed, which is equivalent to 11.7% of the total Labour Force population in the country.
During that period, the Labour Force population was 18,821,525 of whom, 16,627,133 persons were employed and among the employed, 1,682,383 persons were in the informal sector activities.
The estimates of currently unemployed persons for year 2011 are 2,368,672 persons which is equivalent to 10.7% of the labour force population.
Currently the total number of labour force population is estimated to be 22,152,320 persons, of whom 19,783,648 are estimated to be employed, among the employed, 2,502,327 persons are estimated to be employed in the informal sector activities.
It is obvious that, most of Tanzanians engage in a range of activities to earn a living; as a result unemployment rate seem to be low as compared to most of the peoples’ understanding, which confuses between employment in the informal sector activities and employment in the formal sector economy.
Meanwhile, the Government is planning to conduct the Integrated Labour Force Survey in year 2013, results from the survey are expected to update the Labour market information.
 
Usishtuke kiongozi kwani hujamskia mkuu wa Kaya akitangaza uchumi wa nchi unakua kwa kasi kama uchina
 
Usishtuke kiongozi kwani hujamskia mkuu wa Kaya akitangaza uchumi wa nchi unakua kwa kasi kama uchina
Eti Uchumi wa Tanzania unapaa kwa kasi ya kutisha. Hata jumuiya ya watanzania waishio Australia walitoa tamko la kumsifu JK alipokuwa Australia na walimmwagia sifa lukuki eti kwa kuufanya uchumi wa bongo kuwa among the fastest growing economies in the world!!
kaazi kwelikweli
 
Hujui unafiki wa wabeba box? Hawa diaspora fake hasa wanachama wa magamba huwa ni wanafiki sana.....wanajua wakimsifu mkuu mlewa sifa basi si haba watakuwa considered kwenye hizi posts za kupeana ulaji
Eti Uchumi wa Tanzania unapaa kwa kasi ya kutisha. Hata jumuiya ya watanzania waishio Australia walitoa tamko la kumsifu JK alipokuwa Australia na walimmwagia sifa lukuki eti kwa kuufanya uchumi wa bongo kuwa among the fastest growing economies in the world!!
kaazi kwelikweli
 
The majority of Tanzanians live in rural areas and their main occupation is agriculture. Given the low level of technology and modern agricultural knowledge agriculture is back breaking and occupies peasant farmers full time throughout the year. Therefore it is not wrong to say up to 80% of Tanzanians are employed. However, if you look at employment from a different perspective the picture is different, e.g. youth employment, salaried employment, formal sector employment, the invisible economy, etc.
 
Back
Top Bottom