Elections 2010 Hapa kuna haki?

kaka h

Member
Sep 6, 2010
38
7
je ni kwa nini raisi anaposhiriki uchaguzi haachi madaraka ya uraisi hamuoni hili linanyima haki sawa kwa wagombea.......
 
THUBUTU....Aachie madaraka abwagwe ki-katrina..!
Hii ndo aina ya viongozi wasiofanya kitu afu wanang'ang'ania madaraka..!
 
Siyo rais tu hadi mawaziri pia. Ni moja kati ya mapungufu ya katiba yetu
 
Tanzania haki itakuja kutendeka tu na pekee tu, kama watanzania watakapo kimwaga ccm,otherwise tusahau
 
Back
Top Bottom