Hapa kikwete katupiga bao!

IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,127
140
Kwa jinsi Muungwana anavyo wajibika kwa sasa si ndiyo anazidi kukiruka kiunzi 2010? hatujui tutamrushia madongo yapi, kwani yeye kama yeye hakika anaendelelea kuisafisha ile njia,

Tuangalie tusije tukakosa mshiko, !!!!!

Nadhani zile hoja za kufichua ufisadi tungeanza sasa si mwaka jana, hawa jamaa wanaendelea kujisafisha

Sijaelewa kwamba wanapowapeleka akina Mramba baada ya uchaguzi watawafutia kesi zao ama?

Nimeipenda ile style yao.

Ama nina makengeza?
 
Toa evidence ya kile alichawajibika nacho. Yaani weka progress report yake tangu day alipochukua madaraka Dec 2005????!!! Baada ya kuweka real progress report yake hapa then utaweza kutuambia kuwa ametupiga bao. Sikubaliani na wewe kabisa. Ninachoona ni viini macho au mazingaombwe tu. We need strict proof kwa post yako. Thanks.
 
Maane hebu ni evidence gani utahitaji kuona kama jamaa anaweza hata kumsariti hata rafiki yake mpenzi(Rowasa)
 
Kamsaliti vipi? Kajiuzulu UPM na mafao kalamba huku ikijulikana wazi ni mwizi, mwenzake badala ya kuwa makini anasema 'ajali ya kisiasa', huo ndio unauita usaliti. Prove to us, sio kuja na hoja za kusafisha watu hapa JF, hapa sio mahala pa kuleta kitu kisichokuwa na kichwa wala miguu. Think twice!
 
mpigafilimbi; Mkuu sipo hapa kwa ajili ya kumsafisha mtu hapa, ila nipo hapa kuelezea hisia zangu, mpigafilimbi; nadhani wewe utakuwa na mawazo mgando yasikubali ukweli wa mambo, pale mtu anapofanya vema ni vizuri akapongezwa.
 
Mtoto wa Mwita, naona wewe ndo unataka kuleta usanii au amri za geshi humu ndani! Umeambiwa utoe orodha ya mafanikio ya JK toka Desemba 2005. Nilitegemea ungeanza kufanya hivyo ili kuleta mshiko kwenye hoja yako. Sasa kama unaanza kurushiana mawe na wachangiaji utaifanye hoja yako ionekane kama Orijino komedi tu!:rolleyes:
 
mpigafilimbi; Mkuu sipo hapa kwa ajili ya kumsafisha mtu hapa, ila nipo hapa kuelezea hisia zangu, mpigafilimbi; nadhani wewe utakuwa na mawazo mgando yasikubali ukweli wa mambo, pale mtu anapofanya vema ni vizuri akapongezwa.

Bro, ni mambo gani mazuri yaliyofanyika mpaka sasa unayoyafahamu wewe ndugu? kama hayo yapo unaambiwa yaweke hapa moja baada ya jingine...ili watu wachangie vizuri!
 
Naona si tu una makengeza bali huoni kabisa. Kumbuka major objective/goal ya JK alipoingia madarakani (ambapo alikuta hazina imejaa) ni "maisha bora kwa kila mtanzania". Achilia mbali ahadi kibao za kipuuzi alizotoa. Je amefanikiwa nini katika hilo?
1. Inflation rate from 6% (2005) to 13.5% (today)
2. Elimu ya juu, from 100% gvt sponsorship to 80%, 60% and none.
3. Bei ya umeme imepanda sana
4. Consumer Price Index mbaya
5. Aliahidi kuongeza mishahara ameshindwa, ametumia EPA funds kulipa nauli za walimu
6. Kilimo: Bei ya mfuko wa mbolea TZS 15,000 (2005) mpaka TZS 125,000 per bag (today)
etc.

Amefanikiwa nini? Au bado unaangalia ze comedy ya JK?
 
Kwani hayo si mafanikio? Au mafanikio ni positive tu?
 
Hapa tunamukumu bila kuitazama dunia kwa sasa,

Kama ndiyo tuseme nini kuhusu UGHAIBUNI tunaposhuhudia uchumi ukiporomoka?
 
Hakika mimi nawashangaa wachangiaji wangu, mimi nilitaka kusisitiza kuwa tutakuwa na hoja gani 2010, watu wengine wanajikita kumlaumu muungwana, hapa nilitaka tupate mshiko na wala si lawama, tujue ni jinsi gani tutasimama na hoja gani?

Napata kigugumizi hawa jamaa wa sisiemu ni wajanja sana,

Mbaya zaidi niliwahi kuwauliza watanzania wnzangu kuwa ninani tuliye muandaa 2010? watanzania wenzangu wakaja na hoja kuwa ni mapema sana.

Na leo ninauliza mbona hatuna mikakati ya 2010"?;
 
Hakika mimi nawashangaa wachangiaji wangu, mimi nilitaka kusisitiza kuwa tutakuwa na hoja gani 2010, watu wengine wanajikita kumlaumu muungwana, hapa nilitaka tupate mshiko na wala si lawama, tujue ni jinsi gani tutasimama na hoja gani?

Napata kigugumizi hawa jamaa wa sisiemu ni wajanja sana,

Mbaya zaidi niliwahi kuwauliza watanzania wenzangu kuwa ninani tuliye muandaa 2010? watanzania wenzangu wakaja na hoja kuwa ni mapema sana.

Na leo ninauliza mbona hatuna mikakati ya 2010"?;
 
Mheshimiwa anajaribu kujipapatua lakini dawa yake ipo jikoni si ameenda kuchezea Zanzibar basi we wacha tu ,ubabaishaji wake karibu utaanikwa, yaani lazima mikogo itamwondoka na hataweza kuamini kama alivyoanza sivyo alivyo hivi sasa ,na hili limesababishwa na ile heshima aliyopewa na matumaini aliowekewa ukiongezea na ahadi zake ambazo ndizo hizo zitakazomporomosha ,Kikwete kwa kweli hasa mmoja kati ya vviongozi ambao wananchi wengi walikuwa na tamaa juu ya uongozi wake hata wengine kufikia kusema ni Chaguo la Mungu hapo si padogo ,na umma mzima wa WaTanzania ulikuwa na imani nae kuwa Nchi imepata kiongozi imara, naweza kusema mapenzi ya WaTanzania kwake hapo mwanzo yalikaribiana na Moringe Sokoine.

Hapa tulipo naamini kabisa Kikwete anaona bado hali hiyo ipo ya kupendwa na wananchi ,ila kwa taarifa tu hali hiyo imeshaanza kuyeyuka kama mfuko wa plastiki unapouweka kwenye moto ,huwa unajiunguza wenyewe na Mheshimiwa hapo alipo anajiunguza mwenyewe ,mambo na vituko vyake ndivyo vinavyommaliza ,na ikiwa hivi sasa anamalizwa na vituko vyake ,je itakuwaje wapinzani watakapoamua kumkoma nyani ?
 
Jk ni msani tu,anajifanya yuko bize na ma issues kumbe zuga.ana angalia upepo ukoje issues za kina yona,mramba na wenzake zi situdanganye.anajiwekea mazingira mazuri ya uchaguzi 2010.issue ya zanazibar imemshinda hana ubavu wenye CCM wememwambia no.
Katika kilele cha maadhimisho ya kitaifa ya miaka 32 ya CCM yaliyofanyika shinyanga uwanja wa Kambarage amesema wakati wa watu kutumia fedha kununua uongozi umepita, hizo ni siasa tu anajifanya kuyo makini na kupambana na rushwa kumbe zuga, uhalisia JK hana ubavu wa kupambana na ufisadi.Wa Tz sasahivi hatutaki tena longo longo.
 
Wakuu, mimi ninashangaa sana kusikia kuna mafanikio yoyote kiuchumi, kijamii, kisiasa, kiusalama, kielimu, kiafya, kimiundombinu, ki... tangu tumalize uchaguzi mwaka 2005. Sioni lolote.

Nikiangalia sekta zote muhimu, sioni lolote. Ninachoanza kuhisi ni kuwa CCM sasa imechoka kuongoza nchi, ama inajaribu kuona kama waTanzania wanaweza kuwatosa katika uchaguzi wowote wa Rais, Wabunge na Madiwani. Nasema hivi kwakuwa katika historia ya siasa nchini tangu kuanzishwa kwa vyama vingi, haijawahi kutokea performance ya chini kiasi hiki na bila kuwa na nia ama njia inayoonekana wazi ya ku-improve hali ilivyo.

CCM ikishinda 2010, itakuwa ni kwasababu wapinzani wameamua ishinde, na wapinzani hawatashinda tena hadi siku wote humu tutakapokuwa wazee wa kusagiwa chakula na kulishwa (baada ya meno yote kuisha mdomoni na macho kupoteza maono).

Sisemi hivi kwa kuichukia CCM. Ila nasema hivi kwa kuonyesha ukweli wa hali ilivyo.
 
Kwani hayo si mafanikio? Au mafanikio ni positive tu?

Unless kiswahili kimebadili maana ya mafanikio, lakini mafanikio ni hali chanya kuelekea lengo fulani, kama vile la maendelea, sasa kama uanendelea kuelekea nyuma hayo ni matatizo sio mafanikio tena
 
Mheshimiwa anajaribu kujipapatua lakini dawa yake ipo jikoni si ameenda kuchezea Zanzibar basi we wacha tu ,ubabaishaji wake karibu utaanikwa, yaani lazima mikogo itamwondoka na hataweza kuamini kama alivyoanza sivyo alivyo hivi sasa ,na hili limesababishwa na ile heshima aliyopewa na matumaini aliowekewa ukiongezea na ahadi zake ambazo ndizo hizo zitakazomporomosha ,Kikwete kwa kweli hasa mmoja kati ya vviongozi ambao wananchi wengi walikuwa na tamaa juu ya uongozi wake hata wengine kufikia kusema ni Chaguo la Mungu hapo si padogo ,na umma mzima wa WaTanzania ulikuwa na imani nae kuwa Nchi imepata kiongozi imara, naweza kusema mapenzi ya WaTanzania kwake hapo mwanzo yalikaribiana na Moringe Sokoine.

Hapa tulipo naamini kabisa Kikwete anaona bado hali hiyo ipo ya kupendwa na wananchi ,ila kwa taarifa tu hali hiyo imeshaanza kuyeyuka kama mfuko wa plastiki unapouweka kwenye moto ,huwa unajiunguza wenyewe na Mheshimiwa hapo alipo anajiunguza mwenyewe ,mambo na vituko vyake ndivyo vinavyommaliza ,na ikiwa hivi sasa anamalizwa na vituko vyake ,je itakuwaje wapinzani watakapoamua kumkoma nyani ?

Mwiba,
Mara nyingi nimekuwa nikikubaliana na hoja zako na siku zote natofautiana wewe kwani siku zote haunyeshi mtizamo wa siku za usoni , yaani haunyeshi ni nani awe Rais wa 2010,
sijui sasa hebu tumekata tamaa kabisa kuwa CCM NDIYO watuongoze maisha yetu yote?
 
Dark City kama huelewi tofauti ya success na failures sana itakuwa jambo lingine hlo.

Pia Msanii aliahidi kupitia na kurekebisha mikataba ya sekta ya madini. Kwa kweli mpaka leo mimi sijaelewa kabisa deliverables muhimu katika hili?

Suala la mpasuko wa kisiasa Zanzibar alilojifanya kuongea kwa hisia kali sana, mpaka leo ni kitendawili.

Suala la nyumba za serikali walizoziuza wakati wa Mkapa aliloahidi kulipitia mpaka leo anasuasua tu.

Hoja:

Kama ameshindwa kuyafanya yote hayo na mengineyo kipindi cha kwanza cha miaka mitaka (hadi mwakani) ikiwa ingekuwa ni vyema kwa ajili ya kugombea kipindi cha pili, sidhani kama kipindi cha atakuwa na changamoto yoyote muhimu kwani anajua hataweza kugombea kwa mujibu wa kikatiba.

Kumbukeni hata Chinga Mkapa alifanya madudu sana kipindi chake cha pili.

Kazi kwetu.

La muhimu ni wa Tanzania ni kuchagua wabunge wengi wa upinzani ili kuweza kulipa bunge guvu ya kuidhibiti serikali.
 
Wakuu, mimi ninashangaa sana kusikia kuna mafanikio yoyote kiuchumi, kijamii, kisiasa, kiusalama, kielimu, kiafya, kimiundombinu, ki... tangu tumalize uchaguzi mwaka 2005. Sioni lolote.

Nikiangalia sekta zote muhimu, sioni lolote. Ninachoanza kuhisi ni kuwa CCM sasa imechoka kuongoza nchi, ama inajaribu kuona kama waTanzania wanaweza kuwatosa katika uchaguzi wowote wa Rais, Wabunge na Madiwani. Nasema hivi kwakuwa katika historia ya siasa nchini tangu kuanzishwa kwa vyama vingi, haijawahi kutokea performance ya chini kiasi hiki na bila kuwa na nia ama njia inayoonekana wazi ya ku-improve hali ilivyo.

CCM ikishinda 2010, itakuwa ni kwasababu wapinzani wameamua ishinde, na wapinzani hawatashinda tena hadi siku wote humu tutakapokuwa wazee wa kusagiwa chakula na kulishwa (baada ya meno yote kuisha mdomoni na macho kupoteza maono).

Sisemi hivi kwa kuichukia CCM. Ila nasema hivi kwa kuonyesha ukweli wa hali ilivyo.

Recta

Hapa umenena, ila najua kuwa umesahau kuwa hawa CCM ni mchwa
 
Back
Top Bottom