Hapa kazi hipoo

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
Kuna dogo hapa kaomba vyuo vitatu na vyote vimeshatoa majina hayupo, tcu wamemwambia kua yuko admitted embu ushauri tafadhari wana jf
 
yaaan aliapply vitatu tuuu?? katika machoice yote nane!!! hapa cjaelewa alikuwa anajiamini sana au??? duu, simkatishi tamaaa lakini huyo imekula kwake????

maana hakuna chuo kinachomchagua mtu bila application kaka! wakuchague ualimu wakati hupendi??? kama alijaza vitatu na vyote hayupo basi .....!! mmh labda asubiri miujiza ya mungu
 
Kuna dogo hapa kaomba vyuo vitatu na vyote vimeshatoa majina hayupo, tcu wamemwambia kua yuko admitted embu ushauri tafadhari wana jf

Hizo selection za vyuo ni kutoka kwenye vyuo vyenyewe?Maana si selection zote ni official.

Hata hivyo sitashangaa sana kwani TCU kwakweli hawaeleweki ila mshauri ajaribu kuomba kwa ajili ya second round na kama sytem ikimgomea awasiliane na TCU kabla muda haujaisha.
 
Kuna dogo hapa kaomba vyuo vitatu na vyote vimeshatoa majina hayupo, tcu wamemwambia kua yuko admitted embu ushauri tafadhari wana jf

alikua anajiamin nin huyo dogo hadi akaomba vyuo vitatu pekee?anway,mwenyewe nliomba udsm,sua na mzumbe bt thanx nimepata kimojawapo ya hvo!
 
dogo kachana mbaya alipiga PCM, NA ANA MOJA YA TATU.

Mkuu unasema kweli au unatania?Itakuwaje mtu kama huyo aachwe?Bila shaka kuna tatizo lilijitokeza maana haiwezekani akose kwa ufaului huo_One za 3 PCM ni za kuhesabu mkubwa.
 
Mpango ndio huo, me mwenyewe ndio niliyemfanyia application na daily nilikuwa nachek profile yake iko pwax coz zote ni Eligible but ndo hivyo vyuo vyote alivyoomba wametoa majina ni UDOM, SAUT na ARUSHA UNIV, sasa hapo me hoiiiiii,
 
Mkuu hii TCU ni janga la kielimu.
 
Mkuu unasema kweli au unatania?Itakuwaje mtu kama huyo aachwe?Bila shaka kuna tatizo lilijitokeza maana haiwezekani akose kwa ufaului huo_One za 3 PCM ni za kuhesabu mkubwa.

Si bora zingekua za kuhesabu!! ZIKO NNE(4) TU
 
Mpango ndio huo, me mwenyewe ndio niliyemfanyia application na daily nilikuwa nachek profile yake iko pwax coz zote ni Eligible but ndo hivyo vyuo vyote alivyoomba wametoa majina ni UDOM, SAUT na ARUSHA UNIV, sasa hapo me hoiiiiii,

acha uongo 1ya 3 ashindwe kufanya application mwenyewe,haiwezekan aombe univ of ar na point 15 za pcm wakati hicho chuo cut off point zake ni kuanzia 2,cku zote uongo upo hujitenga na ukwel,sema tu ana dv ya kawaida,kama ni kwel tupia namba yake ya 6 na 4m 4
 
Sikia wewe acha ushamba kwani mtu kwa 7bu amepata 1.3 ndio asiombe kile chuo ambacho anakipenda yeye, huo ni ukwelina hiyo ndio choice yake sasa kama wewe ndo huwa unafikiria huo utintok wako wa dzain hiyo umeumia yeye mwenyewe ndio kaomba hvyo na ndio machaguo yake sasa cjui wewe hua unafikilia kiu gan mtu akiwa na pass kubwa na kuamua kwenda kwenye competion za kawaida unaona diliiiiiiiiiiiiiiii
 
Mpango ndio huo, me mwenyewe ndio niliyemfanyia application na daily nilikuwa nachek profile yake iko pwax coz zote ni Eligible but ndo hivyo vyuo vyote alivyoomba wametoa majina ni UDOM, SAUT na ARUSHA UNIV, sasa hapo me hoiiiiii,

wewe sema alikua ana dv 3 na sio 1.3.mtu mwenye pts 3 hawezi kuomba chuo kama arusha university au saut bana.
 
Ucwe maskini ya fikra wewe kwan Arusha kuna nn na DSM au Mzumbe ni nn na tambua huo ni uamuz wa m2 na co lazma kufanya vile utakavyo wewe, na kwa ujinga wako endelea kuwa na mawazo yakipumbavu hivyohivyo uone utakavyochekwa na wanaojua mambo huwa yanakwenda vp kwa mjini
 
Back
Top Bottom