Hapa JK kacheza kama Messi

Nyote mtakumbuka wakati jk akifungua bunge la kwanza baada ya kutangazwa rais wabunge wote wa cdm wakiongozwa na chairman wao walitoka nje kwa kutomtambua jk kama mshindi halali wa upresida wa tz.kitendo hicho kimsononesha sana jk japo alioneka akitabasamu.basi baada ya hapo wabunge wa ccm wakajipanga ili kuwashinikiza wabunge wa cdm wamkubali jk kama presida halali wa tz,na kweli shinikizo likafanya kazi japo si kwa asilimia mia kwakua bado wabunge waliendea kukataa miswada yote ya gvt ya jk ndani ya bunge na nje ya bunge walionekana viongozi wa cdm wakipromte maandamano kila kukicha na kitendo hicho kilikua ninamuumiza jk kichwa kila kukicha na akawa anabuni kila njia ya kuwafanya hawa wana cdm wamsujudie lakini wapi,mara kama bahati ya mtende jamaa si wakaandika barua ikulu kuomba ikulu iwaruhusu kumuona jk!jk nae baada ya kusikia pasina na kusita akawaambia mastaff wa ikulu wafanye fasta kuwakubalia ombi lao.mda mfupi baadhi ya wana nec kule dom wakapendekeza jk asikutane na ujumbe wa cdm pekee bali akutane na vyama vyote.lakini jk akakataa maana jk kichwani ilikua si mjadala wa katiba kama wana nec walivyodhan,yeye lengo lake lilikua ni kupokea salute kutoka cdm tu,mda ukawadia viongozi wa cdm wakakaribishwa na wasira pale sebuleni ikulu na jk pasipo ajizi akawakalisha pale kama lisaa hivi pasina kutokea,viongozi wa cdm wakaonekana wakikodolea masho masanamu ya pale ikulu.baadae akasikika afisa wa mjengo akiwaambia mda wa presida kuingia umewadia na wanatakiwa kusimama huku wakiwa wameinamisha vichwa chini ili kutoa heshima kwa mkuu wa nchi,na cdm wakiongozwa na kiongozi wao aliyewaongoza kutoka nje ya bunge lakini safari hii akiwaongoza kutoa salute kwa presida wakasimama kwa kutia huruma kabisa vichwa chini.na mara jk akawaambia mwaweza kaa,na wote kwa pamoja wakasema asante mkuu wakakaa.mda mfupi wa baada ya salamu wakakabidhi mawazo yao kwake.japokua jk alikua na mda wa kutosha kumaliza yale maongezi lkn aliona kiu yake haiwezi kuisha kwa siku moja hivyo akawaamuru warudi keshoyake.na baada ya keshoyake kutii amri ya mkuu wakapigwa pande kwa minista wa wizara usika na kesho yake jk akiwa na roho nyeupe kabisa akasaini mswada waliokua wanashinikiza asisaini.hakika JK kwa hili umetisha. UKIRUSHA JIWE KIZANI UKISIKIA MGUNO UJUE LIMEMPATA


Rudi katani kajifunze hata kuandika na kuacha nafasi kabla akili zako zitulie then uje jamvini .Umekaa uchi na huu upupu wako mwingi ulio mwagika.Nape kesha pigwa stop nani anawalipa sasa ?
 
Kama kweli una maana JK ku-sign mswaada wenye mapungufu badaya ya "kusujidiwa" na
CDM ni kucheza kama Messi (mwanasoka bora wa dunia). Basi kweli watanzania tuna matatizo
makubwa, tena ya msingi. Mimi nawaonea huruma CDM kuwatetea Watanzania wa aina ya kwako.

Kwa Watanzania wa aina hii CDM fanyeni tu kama CUF kule ZNZ, mpaka siku watanzania
watakapotia akili kichwani. Njisi alivyoandika thread yako, haina paragraphy, nukuta, spelling
mistakes etc, inaonekana wewe ni KCC ambaye unafurahia wabunge wako kulipwa seatting
allowance ya 200,000/- ambayo ni sawa na take home yako wa mwezi. Kwanini CDM
mnapoteza mda wenu kumtetea mtu wa aina hii? acheni CCM waendelee kumtafuna
 
siku zote mimi nawachukulia washabik wote kama wa cdm kama dust bin la mawazo ya viongozi wao,lkn wala hamnipi homa coz baada ya lowasa kutangazwa mgombea ndio utakua mwisho wenu
 
wanatakiwa kusimama huku wakiwa wameinamisha vichwa chini ili kutoa heshima kwa mkuu wa nchi,na cdm wakiongozwa na kiongozi wao aliyewaongoza kutoka nje ya bunge lakini safari hii akiwaongoza kutoa salute kwa presida wakasimama kwa kutia huruma kabisa vichwa chini.na mara jk akawaambia mwaweza kaa,na wote kwa pamoja wakasema asante mkuu wakakaa
Waliambiwa wasimame vichwa chini na JK alipoingia akawaamabia wakae, still vichwa chini?


Hizi protokali nyingine bana,hivi kumbe rais huwa anasujudiwa?

Haya mambo ya wakoloni sijui kwanini tuliiga yote?

Kusujudiana ni mambo ya ufalme bana,si kwenye tawala za kidemokrasia ambapo tunachotakiwa ni kutoa Heshma na si kumsujudia binadamu mwenzenu!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom