Hapa ingekuwa watoto wanasubiri chakula wangelala kabla akijaweka mezani

p_prezdaa

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
432
60
Jamani haya mambo tunweza kushabikia kinafiki tuu lakini kiukweli sio haki na usawa wala utendaji kazi unatakiwa me sijaona sababu za msingi kwa hawa jamaa wa bodi ya mikopo kutokutoa majina ya successful and unsuccessful applicants hadi mda huu maana duu kamaweliweza kutoa majina ya waliokosea kujaza form zao kwanini washindwe kutoa hayoa wanayoyaita means tests jamani au ndio aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa, je wanakifunza nini hiki kizazi wanachokiita taifa la kesho je na wao waige utendaji kazi wa namna hii au nao wawe na uchelewashaji wa mambo pasipo sababu maana mmnh,huu ni wangu mtazamo jamani.
 
Mm kweli nimekata tamaa,bora kwenye web wangekua wanatoa matumaini maybe 2ngevumilia kwa kujipa moyo lkn hakuna chochote yaan 2nagive up,najua mko jf jaribuni kusikia kilio cha wanafunz/wazazi.
 
Back
Top Bottom