hapa inakuwaje wazee?

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
kompyuta nikiiwasha inawaka vzr,nafanya kaz kama dakika 10 then inazima yenyewe,whats wrong?
 
Laptop or Desktop?

Inawezekana vumbi limekua jingi katika feni au processor--so inaover heart then inajizima ili kuokoa proccessor isije kuungua AU check your RAM if they are okay...
 
Laptop or Desktop?

Inawezekana vumbi limekua jingi katika feni au processor--so inaover heart then inajizima ili kuokoa proccessor isije kuungua AU check your RAM if they are okay...

ni laptop mkuu
 
From my experience hilo ni vumbi tuu.
NOTE: Hayo ni mawazao yangu coz limeshanitokea--take them as advice.
 
japo hujasema inarun OS gani na ina memory kiasi gani jaribu kufanya uchunguzi wa

1. kuna joto jingi linatoka kwenye CPU?
2.kama ina Memory mbili toa moja washa na moja
3. hdd yako inatoa mlio wowote?

ipo full charged lakini?
 
That sound to be hardware problem. Inawezakuwa Ac adaptor, Inaweza kuwa power supply ndani ya laptop. Inaweza kuwa RAM. etc

  • start in safe mode ikifanya hivyo hivyo then RAM itakuwa si tatizo.
  • Kama inajizima wakati battery ina na full charge then Ac adaptor sio problem
  • then tatizo linaweza kuwa power supply .kama alivyosema mdau mazd maybe ina over heat. angalia sehemu ya kupumulia laptop kama hakuna uchafu na vumbi kuganda ikiwezekana piga blower. Other wise ni dalili ya power supply kufa. tafuta mtaalam au kama wewe una vifaa ifungue upige blower na kusafisha
 
thanks,let me try,lakini inaweza kuover heat kwa dakika chache tu hizo?
 
@sugi
Wachilia mbali dakika, ya kwangu ilikua ina kaa kama 30seconds then inazima--na tatizo ilikua ni vumbi katika feni.Try
 
Any feedback!! tuwe na utaratibu ukipewa mawazo yakifanya/hayakufanya kazi julisha watu, nafikiri ni ustaarabu!
 
huyo ni virus mkuu, huwa anabadili time settings so at certain time interval computer inajiswitch off auto, fanya full scanning kwa antivirus original (purchased). Ilishawahi kunitokea hiyo yangu ilikuwa just 1 minute mimi nilimuondoa kwa avast (2 yrs ago)
 
Back
Top Bottom