Hao wanaosema CCM wamefanya mengi someni hapa

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Leo nimesikiliza hotuba ya Nyerere akizungumzia siasa ni kilimo ya mwaka 1972. Nimesoma kitabu cha maazimio hayo ambayo ilikuwa ni kuacha jembe la mkono, umwagiliaji, kulima kwa kisasa, kutumia mbolea, madawa, ku process mazao bila kuuza raw material nje, kujitosheleza chakula nk. Miaka 40 sasa soma kilimo kwanza wame copy na ku paste yale. Je, miaka 40 hiyo CCM watuambie wamefanya nini kwenye kilimo?

Kikubwa walichofanya ni wizi wa rasilimali zetu wakishirikiana na wazungu.

Hizi ni baadhi ya kauli mbiu zilizowahi kutumika kwenye kilimo:-
1. Kilimo ni siasa
2. Kilimo cha kufa na kupona
3. Kilimo ni uti wa mgongo
4. Kilimo kwanza
Zote hizo zimeshindwa, sasa tutaenda kilimo mbili, kilimo tatu . . . . . . . . . . Hadi tutafika kilimo kumi mvinyo ni ule ule bali wamebadili chupa tu!.

Hapo kwa kuna hatuna sera za kitaifa, hayo yanatokea ndani ya ccm, lazima tuwe na national interest, ndio tutakwenda mbele

Hawana la maana zaidi ya kuwaibia wananchi na wakulima,haiwezekanani waziri atamke bei ya pamba kilo ni sh1100 then mpuuzi mmoja kutoka bodi ya pamba anasema kilo ni sh800,kwa nini mkulima apangiwe bei ya mazao yake?

Hizi ni baadhi ya kauli mbiu zilizowahi kutumika kwenye kilimo:-
1. Kilimo ni siasa
2. Kilimo cha kufa na kupona
3. Kilimo ni uti wa mgongo
4. Kilimo kwanza
Zote hizo zimeshindwa, sasa tutaenda kilimo mbili, kilimo tatu . . . . . . . . . . Hadi tutafika kilimo kumi mvinyo ni ule ule bali wamebadili chupa tu!.

hiyo ya red ndo imetawala muda mrefu sana, na tutaendelea nayo hadi kifo cha CCM.

Hii nchi kila mwenye nyazifa anafanya atakavyo kwa mujibu wa maslahi yake binafsi,serikali inayumbishwa kama kishada huyu anasema hivi yule anasema vile,utafikiri hatuna raisi bana.

Leo nimesikiliza hotuba ya Nyerere akizungumzia siasa ni kilimo ya mwaka 1972. Nimesoma kitabu cha maazimio hayo ambayo ilikuwa ni kuacha jembe la mkono, umwagiliaji, kulima kwa kisasa, kutumia mbolea, madawa, ku process mazao bila kuuza raw material nje, kujitosheleza chakula nk. Miaka 40 sasa soma kilimo kwanza wame copy na ku paste yale. Je, miaka 40 hiyo CCM watuambie wamefanya nini kwenye kilimo?

Hivi kipindi cha Mwl Power tiler zilikuwepo? Sio vibaya kuiga na kuendeleza mambo mazuri yalioachwa hata kama yalifanywa na Saadam Hussein. Labda mimi sijakuelewa una maanisha tatizo ni ku copy yale yale au kuna kitu unaona kilikuwa muhimu kitumike na hakijatumika? Msaada tafadhari.

CCM imefanikiwa kupumbaza wazawa,kupunguza thamani ya elimu,kupunguza uwezo wa wananchi kujitegemea. hayo ni baadhi ya mafanikio ya Chi chi Em. Chipukizi Oyee

Hivi kipindi cha Mwl Power tiler zilikuwepo? Sio vibaya kuiga na kuendeleza mambo mazuri yalioachwa hata kama yalifanywa na Saadam Hussein. Labda mimi sijakuelewa una maanisha tatizo ni ku copy yale yale au kuna kitu unaona kilikuwa muhimu kitumike na hakijatumika? Msaada tafadhari.

yaani umeona power tiller ndo kitu cha maana saana!! vile vya kulimia bustani? havina tija yoyote vinawatia wakulima umaskini tu kila kukicha vinaharibika!

Nielewe vizuri. Ninachomaanisha ni kwamba mwaka 1972 katika sera ya siasa ni kilimo, moja ya malengo yake ilikuwa ni kuachana na jembe la mkono. Leo miaka 40 imepita bado tunazungumza kitu kile kile na hatujapiga hatua yeyote. Sina hakika kama power tiller zitatusaidia sana maana wakulima wengi wanasema hazina uwezo zinafaa kwenye kazi za bustani zaidi

Anyway CCM bwana wataimba kila wimbo, ila mi naona wimbo niuleule, sijui siasa ni kilimo( ila nafikiri siasa ni ulaji).

Wimbo uleule, mashairi yaleyale, na tyuni yake pia

Ila nina wasiwasi na wateja, kama ni walewale au kuna mabadiliko...

Na ile ziada ya nafaka ya tani million moja na laki tano imetoka wapi msimu huu?

wameboronga mpaka kwenye elimu for 40yrs hata hao chadema wakija sidhani kama kutakuwa na mabadiliko makubwa mi naona hii nchi ingetawaliwa tuu labda tungepata maendeleo kama s.africa

Back
Top Bottom