Hao ndio wakamavu wetu

Sylver

Senior Member
Sep 8, 2010
113
5
Je kwa idara zao hii ni sawa hata kama joto lalevya
 

Attachments

  • gse_multipart38776.jpg
    gse_multipart38776.jpg
    25.3 KB · Views: 125
duu, hiyo balaa yaani wakuu wa ulinzi na usalama wanalala fofofo, kuna ulinzi tena hapo
 
Sishangai. Umri wa akina mzee Malechela kweli ni wa kuhimilii mikikimikiki ya kuwa macho muda mrefu?
 
Back
Top Bottom