Haileti maana kama wamepatikana na makosa na wakaenguliwa na Rais ya maanisha hawafai watabaki kwenye ubunge wa mwakilishe nani tunaomba wananchi nasi tuweke mkazo katika hili vinginevyo waweza wakabaki
Kwani vigezo vya mtu kuacha ubunge si vipo wazi? Kwa Tanzania hii ni mpaka kesi dhidi yao itakapofunguliwa na wakapatikana na hatia ndiyo wanaweza kupoteza sifa za kuwa wabunge. Vinginevyo kama tuna ndoto kuwa watajiuzuru basi itakuwa imeshakula kwetu.
Tunasubiri wapigwe chini,then huku majimboni tunalianzisha. Hatutaki kuwakilishwa na wabunge wezi...na sisi tunatafuta saini za wapiga kura 2000 then tunatuma wawakilishi pale ofisi ya bunge na ujumbe wetu ni hatumtaki mbunge wetu 7bu ni mwizi.
Tunasubiri wapigwe chini,then huku majimboni tunalianzisha. Hatutaki kuwakilishwa na wabunge wezi...na sisi tunatafuta saini za wapiga kura 2000 wenye kadi ya kupigia kura,then tunatuma wawakilishi pale ofisi ya bunge na ujumbe wetu ni hatumtaki mbunge wetu 7bu ni mwizi.
Wafunguliwe kesi ya jinai ili waachie ubunge na watakao chaguliwa wawe makini na waogope kuwa mawaziri.Sio tu kufurahia kuwa mawaziri bali watumikie wananchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.