Hanywi pombe...havuti sigara...

Hakuna ukweli wowote kwenye hayo madai ila imani tu za watu ila kinyume chake ni kweli.
Nilisikia BBC siku moja, wanasema utafiti umeonyesha kuwa mtu akishapata bia zinazompa stimu; kila mwanamke anayepita humwona mzuri. Pia nilikuwa naongea na dada mmoja akadai yeye hupenda kunywa na mumewe na huishia kwenye tendo. Alidai ukiwa umekunywa tendo hunoga zaidi.
Hamjiulizi kwa nini walevi huishia kulala na mabaa medi? Hamjiulizi kwa nini mabaa medi nao hutaka ofa za bia ndipo walale na wateja wao walevi?
 
Du! Ila hiyo inategemea na mtu maana wengine wanywe wasinywe,wavute wasivute wao na pichu ni damu damu, ila mie sipendi mpira,sivuti,sinywi n.k ila kuangalia movie na kucheza game najisikia furaha zaidi ya kila kitu na siku nikinywa mi na akina dada ni maadui
 
kuna mtu kama Preta yeye ukimwacha ndani ukaenda kunywa na yeye huku nyuma anaondoka,mwanamme unarudi sa tisa yeye alirudi saa nane,amechoka kwa kuchakachuliwa na wewe umechoka kwa pombe hapo nan mwaminifu,aliaga anaenda kunywa au aliye toroka kwenda kuchakachua.teh,teh,te,
hahahaaaa...!!!. mia
 
watu wanapenda kutafuta mapungufu ya wengine. mara nyingi its one of these kwa wanaume

  • ulevi
  • uzinzi
  • uvutaji sigara
wasipoona hizi watazusha majungu yasiyo na kichwa au miguu, kama cacico anayedhani mwanaume asiyependa mpira ni wa kumkwepa
 
Hahah...shem Kaizer na babu Asprin...kuna jambo mnalikimbia hapa na nimewashtukia...nway poa, bdae...najua siku moja tutagongana mitaani..si ulikataa kunkaribisha hata break point!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mie huwa Buhongwa na Mkuyuni wananiita sana

mmhuuu...!

Ha ha ha ha, kuna mdada mmoja alilia sana, kumbe kaenda Nyegezi bana
Ila botifulendi hakugundua akamrudisha kwao haraka akidhani ana matatizo.

wewe mwanadamu stoo yako ya mifano na vituko haifilisiki!... Kongosho ntaivunja nikuibie kila kitu mpaka NANII...
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sijawahi kufanya research,lakini watu wengi hudai kuwa lazima mwanaume awe na ulevi mmoja wapo,lakn mimi huwa naona watu wengi wakilewa ndio hutaka wanawake,tabia hii anayo sana junior .Cux , Bishanga , erick52 , na Plantozoom kwa wanawake pia wakilewa huwang'ang'ania wanaume,wenye tabia hii ni kama Kongosho , FirstLady1 , shemeji yangu Kijino , CANtalista japo sio sana, charminglady tena huyu anaweza kukubaka akilewa kaanae mbali mita 100.Natoa tahadhari kwa wanawake watakao kuwa karibu na junior .Cux akiwa amelewa yatayo wakuta mtajua maisha

Ni kweli huwa nikizidiwa naona wadada wote kama wananitaka..kwa mfano hivi karibuni nilipiga bunduki kadhaa nikiwa pembeni na shemeji Madame B....Mida ya giza nene nikamwambia twende tukavumbue dhahabu..wala hakuwa na hiyana
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli huwa nikizidiwa naona wadada wote kama wananitaka..kwa mfano hivi karibuni nilipiga bunduki kadhaa nikiwa pembeni na shemeji Madame B....Mida ya giza nene nikamwambia twende tukavumbue dhahabu..wala hakuwa na hiyana

Heheh kaka platozoom, ebu nkuulize..uyu Madame B ukitaka kumbusu si mpaka aoshe uso? maana hiyo make up alopigilia!??? mhh..nkiangaliaga avatar yake napata maswali mengi sana..hafai for a "quickie" (Hapa mtaalam wa hii ki2 ni babu yang, mheshimiwa sana Asprin)
 
Pengine umemchanganya madame b na madame x....mimi shemeji yangu ni madame b
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom