Hanywi pombe...havuti sigara...

Mh..nipo ofisini kazi si nyingi kivile,
Tunapata early tea hapa niko na immediate bosi wangu na wadada wawili..

Topic of discussion: Mdada huyu mmoja ana mume yu masomoni Dodoma. Sasa wanamuuliza kama huwa anakuja akasema mara chache chache maana masomo yamebana. Wakaanza kumuambia anaibiwa. Then huyu mdada mmoja akamuuliza, "Mumeo ni mlevi au anavuta sigara?"
akajibu hapana...basi ndo kabisaaaa...waka-conclude anaibiwa!

Sasa jamani, hivi kuna ukweli kiasi gani kama mtu si mlevi na si mvutaji basi anapenda chini!??? They seem to be so convinced about it..

Mi nashangaa mbona babu Asprin, shem Kaizer, kaka et al ni walevi ila chini wanapenda sana...kuna ukweli kiasi gani!??
Kawaida kuna vitu vinaitwa interest au hobbies kwa binadamu yoyote yule, hii ndiyo inayowagawa watu kwa makundi kama yalivyotajwa hapo yaani wavuta sigara, walevi, mateja na kadhalika ikiwemo wapenda ngono. Sasa hutokea wakati ambao binadamu mmoja anaweza kuwa na zote kwa pamoja au akawa na baadhi yake na mambo kama hayo. Kwa maana hii haina maana kwamba kwakuwa mtu hana moja kati ya hizo basi ana nyingine...sio kweli.

Cha pili ni mazingira, haya yanachukua nafasi kubwa sana ya kubadilisha tabia na mwenendo wa mtu. Kwa mfano kama marafiki zako wote ni walevi kuna nafasi kubwa ya wewe pia kuanza kuwa mlevi, kama marafiki zako wengi ni wazinzi kuna nafasi kubwa sana ya wewe pia kuwa mzinzi vivyo hivyo kama marafiki zako wengi ni wacha Mungu then kuna nafasi kubwa sana ya wewe pia kuwa mcha Mungu.

Mwisho ni kwamba dhana ya kutokuwa mlevi au mvuta sigara basi ndio unaonekana kusabstitute na uzinzi sio kweli na hata ukiangalia mazingira utaona kwamba walevi ndio wanaokuwa exposed zaidi na mazingira ya uzinzi kuliko hao wasiokuwa walevi au wasioenda kwenye sehemu zenye za ulevi
 
Tatizo kubwa zaidi ni pale pia anapokuwa hapendi hata mpira yaani hanywi pombe, havuti sigara wala haangali mpira hapo ndo utata unazidi
Nehondo, hapo sepa haraka sana, bila kugeuka nyuma! itakutafuna mazima siku za usoni!
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sijawahi kufanya research,lakini watu wengi hudai kuwa lazima mwanaume awe na ulevi mmoja wapo,lakn mimi huwa naona watu wengi wakilewa ndio hutaka wanawake,tabia hii anayo sana junior .Cux , Bishanga , erick52 , na Plantozoom kwa wanawake pia wakilewa huwang'ang'ania wanaume,wenye tabia hii ni kama Kongosho , FirstLady1 , shemeji yangu Kijino , CANtalista japo sio sana, charminglady tena huyu anaweza kukubaka akilewa kaanae mbali mita 100.Natoa tahadhari kwa wanawake watakao kuwa karibu na junior .Cux akiwa amelewa yatayo wakuta mtajua maisha

ha ha yaani Ruhazwe JR badala ya kukununia imebidi nicheke
shukuru mungu leo nimekaa vizuri dah :glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
Hapa tunajadili nini? Asprin maadam una kalenda yetu ile hebu nijuze leo ni lini:confused2:
Hommie Kaizer kwa mujibu wa kalenda ya naniliu leo ni Alhamisi lakini kwa mujibu wa kalenda yetu leo ni imebaki siku moja.....

Kwa mustakabali huu, pombe lazima ihusike bana.
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sijawahi kufanya research,lakini watu wengi hudai kuwa lazima mwanaume awe na ulevi mmoja wapo,lakn mimi huwa naona watu wengi wakilewa ndio hutaka wanawake,tabia hii anayo sana junior .Cux , Bishanga , erick52 , na Plantozoom kwa wanawake pia wakilewa huwang'ang'ania wanaume,wenye tabia hii ni kama Kongosho , FirstLady1 , shemeji yangu Kijino , CANtalista japo sio sana, charminglady tena huyu anaweza kukubaka akilewa kaanae mbali mita 100.Natoa tahadhari kwa wanawake watakao kuwa karibu na junior .Cux akiwa amelewa yatayo wakuta mtajua maisha

Poa umesomeka mkuu!!!!!!
 
huwa najiuliza sana,pombe hunywi lakin bar unakaa mpaka saa 9 usiku na soda moja ya fanta,huwa unangoja nini?......haka katabia kwako kamekua sugu sana na umri ndio unaenda hivyo utakaacha kweli!

Mimi ni dereva na mara nyingi nakua nampeleka boss maeneo hayo, namie sio cha p kama unavyonionaga na misoda.
Hayo ndo mateso ya madereva, siku nyingine hua tunaekeshwa nje ya guest boss yuko ndani analamba, huku dreva unalambwa mmbu.
 
tabia hii anayo sana junior .Cux , Bishanga , erick52 , na Plantozoom kwa wanawake pia wakilewa huwang'ang'ania wanaume


hahahahahaha we umeanza kutoa siri zako za ndani.. mi nkizidisha hua nachukua avatar ya CUTE naikodolea mpaka nichoke ata sina makuu.!!! Tena ukilewa na mimi usalama ni % 100 ka vipi muulize chalminglady
 
Last edited by a moderator:
Back to topic.. wanaume hambao sio walevi wala wavutaji to some extent wanapenda kweli mambo yetu lakini haiwezi kuzidi mwanaume mnywaji especialy akiwa kaishatupia vitu vyake, kwa ladies ni bora ukatoka na mmeo hata kama we hunywi sababu huko zikimzidi haoni tabu kupiga ata show time..
 
Sasa huyu Mentor anataka kutuambia gani? au amekuwa mental? hebu ntafutie gfsonwin hommie Asprin
Huyu gfsonwin sijui kafungiwa gesti gani asee :ranger:. Ngoja niende mtaa wa 12 nikamchungulie. Kuna gesti ntingi mtaa ule. Na wewe kwanini umeamua kujichimbia mtaa wa 18? Tembeatembea utakase macho.

Huyu Mentor nadhani kuna nati moja imelegea kumkichwa asee...:iamwithstupid:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom