Haniridhishi jamani

wengi wetu ni wazuri mno wa kukimbilia kusema "haniridhishi". umewahi kujiuliza swali je wewe unamridhisha?

inawezekana kabisa ni uoga, au alikaa muda mrefu bila kufanya ile excitement inamsababish ahivyo.lakini na wewe pia jichunguze, unafanya nini kumsaidia huyu mtu wako?au ndo unakaa tu kusubiria aingie afu akishindwa uanze kulalama?
tuwe na hulka ya kujichunguza wandugu, hakuridhishi ndio je wewe unamridhisha?
 
Shida yako umemsababishia mtumishi avunje amri ya 7. Anyway Mpe mda kwani kitu haijazoea joto la ndani,zaidi Sana inainekana Una Uzoefu kumzidi Mpe shule atakuwa vizuri
 
mh! mwambie kaz yako haijafka kwenyewe. rudia tena kwa uangalifu na ujitume. interview bado
 
Hahahaaaaaa! Punguza woga! I naonekana mtoto MTAMU SANA WEWE!!!!! Hiyo ni sababu KIPYA HAKINYEMI!!!! Akikuzoea itaishaaaa yenyewe!!!! Ingekuwa umemkuta ANAKIBAMIA KIDOGO hapo kweli, manake nothing could be repaired!!!!!!! LOL!

Huo ni usongo tu alikokuwa nao ndo uilomponza.

Uswazi dot com @ work
 
We dada wewe Mhhh yani nasomaga posti zako hata sikupatii picha wala negative
 
Asali na karanga mbichi, supu ya pweza, tende na maziwa. hivi vitu ni suluhisho la tatizo lako. al ze best.
 
Wakisema shake well before use wana maana kabla hujampeleka kwa wazazi;

It is almost too late sasa...
 
Tatizo ni kwamba huyu keshapigwa sana kama angekuwa bado sidhani kama angejua huko kulidhishwa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

swala sio kupigwa sana imagine mtu anakuchezea mpaka na wewe unahisi kufanya kitu alafu akigusisha tu anakojoa, hujui kama nitabaki na ma ny******** zangu sasa ikiwa ndani ya ndoa itakuaje kwa hali hii
 
wengi wetu ni wazuri mno wa kukimbilia kusema "haniridhishi". umewahi kujiuliza swali je wewe unamridhisha?

inawezekana kabisa ni uoga, au alikaa muda mrefu bila kufanya ile excitement inamsababish ahivyo.lakini na wewe pia jichunguze, unafanya nini kumsaidia huyu mtu wako?au ndo unakaa tu kusubiria aingie afu akishindwa uanze kulalama?
tuwe na hulka ya kujichunguza wandugu, hakuridhishi ndio je wewe unamridhisha?

sio hivyo huwa namuandaa na ikitokea nimemshika mara 2 anakojoa kwenye boxer na akishakojoa hivyo hawezi kufanya tendo tena lolote sasa nakuta naogopa kumshika coz nikimshika tu anajikojolea
 
Nimepitia post nyingi za mtoa mada kwenye hii thread
hapa mtoa mada ni mzoefu na ana majibu ya kila swali, hakuna kuomba ushauri hapa, kaja kumdhalilisha tu huyo mchumba, lol!
 
nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate

Ndio shida wainjilisti wakikutana na migubegube.........wanaishia kudharauliwa tu. Inaonekana jamaa sio type yako, wewe ni mzoefu wa kupelekewa moto wakati mshkaji ni kijana wa altareni, kazi kwelikweli!
 
nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate

Duh! Penye miti hapana wajenzi!
 
nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate

sometime early ejaculation kwa mwanaume inasababishwa na kutofanya mapenzi kwa muda mrefu,labda kwasababu huyo mchumba wako ni mtu wa dini sana inawezekana hajafanya mapenzi muda mrefu thats why anawahi kufika mshindo,mvumilie kidogo labda unaweza kuona mabadiliko,otherwise maamuzi unayo wewe mwenyewe moyoni mwako.
 
nilikua simbanii kwanza nimemuachia dudu yote nikategemea nimekutana na mtu mchapa kazi anaejua nini anafanya, bado nikafikiri ni mwanzo tu baadae atakaa sawa badae akaanza kunishika kwa mbwembwe ni kajua mwanajeshi kaingia vitani ikawa yale yale alafu ananiuliza umemaliza swty kidogo ni mtemee mate

Mfundishe hata kupiga romance jamani..
 
mawili ww una matatizo una joto saana mwenzio akiingia ashamaliza au akiingia kwako hamu yake inaisha ghafla au yy mwenyewe ana papara lakini pia wanaume wengi kwa kuanzia hawachukui dakika ila akirudia raundi unakoma nae so yawezekena ww huna mbinu za kumfanya mwenzio arudi tena unaishia kutaka ww uhudumiwe tu kisha ujilaze kama gunia
 
tulikua bado kwani ni mtu wa dini sana na ana cheo kanisani hivyyo nadhani alikua anaogopa

Hahah aaaa kwa hyo. Sku hyo udini ukawekwa pembeni? Labda ni woga wa kidin ulikuwa unaendelea. Ngoja akishakabidhiwa mzigo .. Mambo yatakuwa mswano .

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom