Haniridhishi jamani

ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje

madam Anna pita pole kwa mkasa uliokukumba(namaanisha hyo hali ya kibinadamu iliyowakumba),naamin kuna upendo baina yenu.so mwende kwa wataalamu wa afya tatzo liangaliwe kama lina tiba mnaendelea mapendo yenu tofauti na hapo ni hatar kwa hyo ndoa,ol ze best......................
 
me hakuna mwanamke aliyewahi kuniridhisha,kila mdada huwa anawahi kuomba poo!!....anadai nimpe half time....hadi namhurumia na kuamua kumsamehe apumzike,cha kushangaza nikitaka tuendelee na gemu huwa ugomnvi yaani...duuh!!

sijui kwa nini tu,sijui nimerogwa??
 
Huyo atakuwa long tym hajapiga mzigo.yaani unabaati ya mtende wewe,jamaa hajakusaliti hata kidogo.
 
Sipati picha jamaake akija kuisoma hii thread atakuwa mdogo kama piriton, atakuwa akimgusa tu kidogo jamaa kashuti kwa uoga
 
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje
ndo huwa iko hivyo hivyo kwa wanaume wote!au wewe una experience nyingine unayo mlinganisha nayo!!
 
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje

Mpende sana huyo kaka inaonyesha alikuwa hafanyi fanyi hayo mambo hivyo wewe unamsisimua sana kiasi kwamba anamwaga mzigo fasta, wee msubirisubiri akikuzoea atakuwa anachelewa mpaka utapenda na inaweza kufika mahala atakuzoea mpaka asipende kufanya mapenzi na wewe hivyo naye atafikia level ya ku-cheat pia.
 
Tatizo ni kwamba huyu keshapigwa sana kama angekuwa bado sidhani kama angejua huko kulidhishwa

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Au ulimbwagia mzigo mezan ajihudumie,maana mzigo mwengine unakupa maswali kuwa ntamalizaje mchezo na hataki akuangushe sasa.
 
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje

tehe tehe tehe mbavu zangu jamaniiiiiii.du huyu dada anatafuta tiba hapa eh bwana eh
 
huyo jamaa kama ni mtu wa dini ujue anasumbuliwa na ukame mpe mara nyingi iwezekanavyo atarejea katika hali ya kawaida na pia jaribu kuwa wazi kwake hiyo hali umeshanitokea tukaongea na mama yoyo tukaongeza ratiba mambo supa sasa na nagonga mzigo 20min to 40 bila kuachia mzigo na ndoa iko imara
 
karanga mbichi na supu ya pweza will do.....
ngugu zangu mimi ninamchumba ambae ameshajitambulisha kwetu nami kanitambulisha kwao sasa wakati tunatoka kwao Tabora vijijini ilitubidi tulale mjini ili kesho yake tuje arusha sasa bwana katika hali ya kibinadam tu tukawa tumeshiriki kimapenzi ndugu zangu haniridhishi kabisa yaani tukishikana dudu yake ikichungulia tu kwangu kashashusha mzigo yaani namaanisha ( akiingiza chululu yake kwangu kabla hata haijaingia vizuri kwisha kazi )na kajalibu zaidi ya mala 3hali ni hiyo hiyo, jamani kweli nitaweza kuishi nae kama mume???? ushauri wa bure nifanyeje
 
ebwana pole sana!.............hiyo hali ilishampata rafiki yangu mmoja..wewe wala usiwe na waswas jamaa yuko poa insu pale 2 bado anakuogopa wewe anne,wewe jalibuni kama sku 3 mpaka morning wewe utauona mziki.hafu jaribu kumuuandaa sio 2 mnapoenda ground na kazi inaanza take time bhana.mwambie afanye concentration pale HIYO NI KAZI YA UONGO aache kukurupuka na usimtishe kwamba hawezi wewe hata mara moja mpongeza inawezekana bado hajafanya tangu azaliwe..huyo ndio mme wa ukweli..nakomea hapo...kwa maelezo nione PM........
 
ok if thats the case,mpe nafasi tena kama walivyo kwisha sema wajumbe wengine hiyo hali itaisha tu mummy just give him achance harafu inaonekana umebahatisha mwanaume bikra jamani hongera sana mtunze na usimwachie huyo
 
Usiharakie kukmbilia ushauri kwenye mitandao, ukiwa hujamjua vizuri na hujajua nini chanzo ya yote. Na kingine ni uoga wa jambo lenyewe hajawahi kktana kimapenzi tofaut na wewe unaonekana u mtaalam tukiklnganisha nae. Nendeni kwa wataalam wa mambo ya HAYO,kisha muufuate ushauri mtakao pewa.
 
inawezeka anna unaful mauzoefu...acha kumuanika jamaa....kweli mapenzi ni kupiga mzigo kwelkwel....................mpaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom